Biashara ipi unaweza kufanya mitaa ya kishua?

Biashara ipi unaweza kufanya mitaa ya kishua?

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
339
Reaction score
683
Wakuu kwema? Naona watu wengi Sana tumejaa mijini nakufanyia biashara palipo na senta, lakin Kuna mazingira ya kishua tumeyatenga mfano Kuna sehem nimepita naona hakuna huduma ya duka karibu na Kuna frem ya biashara mpya nikavutiwa kufanyia pale biadhara. Mm binafsi nimewaza kufanya biashara ya mahitaji ya nyumban, hivyo naomba na wewe mdau unipe mawazo ni biashara gani unaweza ifanya mazingira ya kishua?
 
Fungua kibar kidogo classic kwa ajili wa wazee washua kunywa hapo
 
Fungua duka la mahitaji ya nyumbani ila uuze vitu classic tu mfano blueband vitu vingine ambavyo unaamini sio vya uswahilini
 
Wengi hununua vitu vya kutumia mwezi mzima,na hununua kwenye ma supermarket. uza matunda nadhani hapo utauza bila shaka
 
20210919_114702.jpg
fungua genge lakishua
 
Back
Top Bottom