Biashara inayolipa zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara inayolipa zaidi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by komedi, Mar 6, 2011.

 1. komedi

  komedi JF-Expert Member

  #1
  Mar 6, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeuliza huku na kule kuhusu biashara inayolipa zaidi na majibu niliyopata ni mengi mpaka nachanganyikiwa.

  Kuuza silaha katika soko jeusi, Uganga wa kienyeji wakati wa uchaguzi, Danguro la siri, Uongozi wa kisiasa, Guest House ndani ya Dar na Dodoma, Madawa ya kulevya, viwanda vya bidhaa feki,

  Wengine wakasema Kuuza majenereta ya umeme, kubadilisha fedha za kigeni, mambo ya forodha, uandishi wa habari za kichunguzi, benki, uigizaji filamu

  Walionichanganya kabisa ni waliosema nifungue kanisa halafu nitangaze kuwa mambo haya yanafanyika:

  Misukule wanarudishwa, njoo upate mume unaemtaka, njoo utapata kazi mara moja, kupandishwa cheo mara dufu, kupona ukimwi, kupona kansa, kupona kisukari, kupata ubunge, kuheshimiwa, kuwa bilionea, kushinda kesi, kupata mtoto, kufufua au kuongeza nguvu za kiume, kurudisha ubikira, kumrudisha mpenzi aliyepotea, kumtawala mume wako, kurudishwa kazini, kununuliwa VX V8 kilimo kwanza na serikali hata kama cheo chako kidogo, kufuta laana zote na nuksi, kuondolewa mapepo na majini, kuongezewa uzuri wa sura, kupewa shepu inayovutia, kurefusha nywele, kurefushwa kimo cha kiungo chochote na upana, kuongezewa weupe, kupewa ndevu staili ya O kwa wanaume, kupendwa, kurudishiwa ujana, kupewa upako wa kwenda ulaya, Upako wa kuzungumza kiingereza fasaha na upako wa kutokufa.


  Wanajamvi bado natafuta biashara ya kufanya, hawa washauri wamenichanganya naomba mnisaidie biashara gani inalipa?
   
 2. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #2
  Mar 6, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 3,954
  Likes Received: 1,659
  Trophy Points: 280
  Msimu huu wa hali ngumu, kanisa ni biashara nzuri.
   
 3. S

  Shauri JF-Expert Member

  #3
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hebu jaribu labda waweza kushinda mkuu
   
 4. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #4
  Mar 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,465
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  Mh. Nimechoka mpaka basi. Pole ndg.
   
 5. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #5
  Mar 6, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,943
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Anzisha chuo cha utapeli na ujambazi!
   
 6. boma2000

  boma2000 JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2011
  Joined: Oct 18, 2009
  Messages: 3,202
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  utapeli
   
 7. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #7
  Mar 7, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aaaagh
   
 8. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #8
  Mar 7, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,584
  Likes Received: 784
  Trophy Points: 280
  Uza mwili.
   
 9. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #9
  Mar 7, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,222
  Likes Received: 4,112
  Trophy Points: 280
  Nunua dowans uuze umeme tanesco.....
   
 10. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #10
  Mar 7, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 6,370
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Nunua mazao ya kilimo, seriousily utafanikiwa mkuu.
   
Loading...