Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,367
Hivi biashara ikidoda ukilala ndio unashika wapi jamani, maana naona mikono yake sijui iko wapi vile?
Akija mteja anatoa mkono huko na kuanza kumchagulia machungwa, hapo hajanawa. Halafu uliza sehemu kama hiyo kama kuna maliwato utaambia hakuna
