Biashara imenona au imedoda?

Hahaaa imedoda hiyo

Kila mwaka tani kwa tani za matunda zinaharibika kwa kukosa ubunifu weledi na vipaumbele
Kwa mfano sidhani kama serikali mkoani Tanga inaweza kukosa pesa za kujenga kiwanda cha kuprocess matunda na ikawa ni chanzo cha mapato na ajira ya vijana wengi
 
10000000000000 likes
 
Fursa za serengeti fiesta ziko wapi? Inabidi wajikite kwenye vitu vya msingi kama hivi, kwa mfano, Hiki ni chakula halafu muuzaji comfortably analala na viatu juu ya chakula anachouza, atakaenunua lazima ni mchafu kama muuzaji. Halafu mnasema soko la nje sijui nini kwa uchafu huu. Pazima itadoda tu.
 
Inawezekana macho yangu yameshakuwa mabovu mbona viatu si vioni hapo...mnunuzi pia ataonekana waajabu kama atachukua matunda na kuanza kula wakati anajua kuwa yanapochumwa hudondoshwa chini sehemu ambayo mimi na wewe hatujui ni salama kiasi gani?,isitoshe wanaopakia kia kwenye gari huhitaji kuyashika kwa mikono na hatujia mikono yao ni safi kiasi gani?kisha hushwa kwenye gari na kupangwa au kama yanavyoonekana hapo kwenye picha kwa mikono je ni halali kununua na kuanza kuyafanyia matumizi bila kuosha na kumenya?
Chukua tahadhari...
 
Suluhu ni moja tu kuwekeza kwa umakini katika hiyo sekta NSSF na wengineo kazi yao ni kujenga maghorofa mjini nikukosa vision na mission watoke huko waende mikoani wakawekeze kwenye vitu kama hivi. Tunda tangu kuchumwa mpaka linamfikia mlaji ni mashine zimetumika
Uchumaji, usafirishaji, uhifadhi, uchakatuaji ili kupata products mbalimbali vyote vifanyike kwa kuzingatia afya na usafi
 
kweli kabisa ulichosema ingawa utekelezaji wake utachukua dahari kutekelezwa ama kwa wawekezaji uliowataja au wengine kutofanya upembuzi yakinifu na hivyo kubaki na mabunio kuwa hawatopata faida na 10 perc wanazotaka ndio maana wamejikita kuwekeza kwenye majumba nk
 
Hivi biashara ikidoda ukilala ndio unashika wapi jamani, maana naona mikono yake sijui iko wapi vile?
 
Watakuja kupatikana watu serious na wenye maamuzi ya haraka lakini si ya kipuuzi wenye nia ya kuona mabadiliko yenye tija yanatokea
Watu wa aina hii tunao tena wengi tu lakini wanaminywa hawapewi nafasi ya kuonyesha vipawa vyao
 
well said! nchi hii inahitajika kufanyiwa marekebisho ya kiutawala katika sekta mbalimbali sana.Ipo siku tutafika tu
 
ameyalalalia ili yasiibiwe mkuu
mshana jr
 
Last edited by a moderator:

ushaona rubisi inavyotengenezwa? Si bora hayo bado yako kwenye maganda yake?
 
Sio ustaarabu kabisa kulala juu ya chakula, hata kama viatu huvioni lakini miguu ikiwa pekua ni michafu tu. Hata machungwa yangechumwa, ku wapacked na kusafirishwa kwa highest clinical standards bado ni jukumu la mlaji kuosha chungwa hilo. Ni ubaradhuli kulala juu ya chakula 6nachouzia watu, labda kama unataka kule wewe muuzaji.
 
ushaona rubisi inavyotengenezwa? Si bora hayo bado yako kwenye maganda yake?

Kwa sababu babu zetu walifanya hivyo enzi zile basi na sisi tuendelee vivyo hivyo?

Kama watengeneza rubisi hawafuati matakwa ya afya inabidi waambiwe na wajirekebishe, hii ni karne ya 21 na enzi za utandawazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…