au biashara ya kusafirisha nyanya,
we acha tu
nilitoaga nyanya kutoka lushoto kuja dar
kufika kariakoo kuna nyanya za arusha zimewasili lundo
sina hamu

au biashara ya kusafirisha nyanya,

we acha tu

nilitoaga nyanya kutoka lushoto kuja dar

kufika kariakoo kuna nyanya za arusha zimewasili lundo

sina hamu

Nilikutana na raia mmoja wa Chad, Hong Kong, akaniambia kama naweza tufanye biashara ya Utomvu wa mapapai! Anaitaji Debe mbili za Utomvu wa Mapapai kama naweza, Nikijiza Debe mbili anatatoa kila Debe $10,000 nilijiuliza sana hiyo biashara kwangu mimi nikaona pasua kichwa

Mkuu unasema kweli au unatani?
maana mimi nikotayari kuianzisha hiya project kama utaniunganisha nahuyo mchad

biashara ya daladala na taxi mbona poa tu?hapo issue ni dereva!ukimpata dereva mzuri unapiga hela!biashara kichaa ni yoyote ile mali kuoza!mfano,nyanya,viazi,kabichi nk.
Mkuu, unakumbuka bei kwenye miaka ya 1970 ilikuwa sh ngapi?biashara ya utomvu wa papai ipo ,ila kwa bei ya dola 10000 kwa debe sidhani kuwa ni sahihi

utomvu wa papi una kitu kinaitwa papain.

hutumika ktk

kulainisha nyama

kudunga ng'ombe wa nyama kabla ya kuchinja ili nyama iwe laini

Uganda wanafanya export ya utomvu wa papai,na tanzania walikuwa wanafanya biashara ya utomvu miaka ya 60 hadi 1970s