Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Nataka niuone kwanza nijiridhishe,
Then nitakuwa nanunua kwa interval fulani kuna mahali napeleka ila uwe wenyewe
Ungekuwa upo mbeya au s'wanga ingekua rahisi. 'Coz' stock ya mpunga ipo Godown, tukipata order tunakoboa then tunafanya biashara.
 
Biashara yoyote inahitaji usimamizi wa 100% ukiwa hapo hapo.

Nakumbuka nilikuwa na Pub mkoa flani ilinifilisi ili niimaintain iendelee kuwepo.Vibaa med nilivitoa straight from unyaturuni.Lazima niwalambe kwanza.Vitoto "Onion a**" havikatai kwa mi boss wao.Wife aliipiga vita nilivyohamishwa kikazi akafurahi na ikafa.
 
Biashara yoyote inahitaji usimamizi wa 100% ukiwa hapo hapo.

Nakumbuka nilikuwa na Pub mkoa flani ilinifilisi ili niimaintain iendelee kuwepo.Vibaa med nilivitoa straight from unyaturuni.Lazima niwalambe kwanza.Vitoto "Onion a**" havikatai kwa mi boss wao.Wife aliipiga vita nilivyohamishwa kikazi akafurahi na ikafa.
Unahakikisha mizigo kwanzaa aisee
 
Biashara nyingne niliyoifanya ambayo kiukweli ina pesa ni mirungi ukinunua mzigo wa laki tano unapata laki tano faida hizo changamoto zake sasa hatari Tupu.

Unaishi Kama ndege huna amani muda wowote unajikuta police,,, ikifanya hiyo biashara mwaka mmoja bila kukamwatwa umetoka kimaisha na kila unapotembea hakikisha unahela kwasababu lolote laweza kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara nyingne niliyoifanya ambayo kiukweli ina pesa ni mirungi ukinunua mzigo wa laki tano unapata laki tano faida hizo changamoto zake sasa hatari Tupu, unaishi Kama ndege huna amani muda wowote unajikuta police,,, ikifanya hiyo biashara mwaka mmoja bila kukamwatwa umetoka kimaisha na kila unapotembea hakikisha unahela kwasababu lolote laweza kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara nilifanya kiasi kiukwelii ni tamu sana.

Chimbo la holili kutoka kenya kupeleka arushaa.

Sema unakuwa huna amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Holili, taveta, namanga, na himo ndo chimbo hizo na kuna muda nilikuwa naingia kenya kabisa kwa wameru huko,, biashara yenye pesa lakini ina changamoto za kiume,, najipanga kuanza biashara hii liwalo na liwe hali gumu mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa sipiti huku barabarani kuna chimbo moja ukifikaa kilema hospital unakata mkono wa kulia unachuku barabara nakuta boda imefika natua mzigoo basii. Maana boss alikuwa kazi ni kunivushia tu basii. Na hizi fuso.

Ngoja ni sianike sana.

Kuna zingine ilikuwa mpakani sems pale chura wakaanza kupekua na kunusa kabla haijafungiwa

Mimi ilikuwa ni himo hadi taveta ndani hukoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom