Kwa yeyote ambae ndo kapata mafao yake na umri ndo uko finaly basi namshauri aanzishe biashara itakayo endana na maswala ya chakula. Maana mwisho wa siku huwezi kukosa mboga wala unga.
Ukiweka genge la mboga mboga na zaidi ukawa unatoa bustanin kwako basi hapo vegs sio tatizo na hapo hapo umauza na bidhaa zote za mahitaji ya nyumbani (hapa namaanisha duka la rejareja) mafuta, sukari, chumvi, sabuni etc
Butcher ya kuuza aina zote za nyama, hii itasaidia swala zima la either white au red meat.
Machine ya kusaga na kukoboa, hapa hutakosa unga na pia kama unamifugo utapata pumba na mabaki ya unga.
Ongezeeni na ninyi....

Mi nitamshauri arudi kijijini atleast apate mji unaochipukia kuchangamka, ajenge atleast fremu kumi na nyumba ya kupangisha. Kama kijipesa kitabaki anunue kijisuzuki carry kwajl ya kubebea pumba na kukatia nyasi.
Katika fremu hizo moja afungue mashine ya kusaga na kukoboa kisha afuge ng'ombe wa maziwa na kuku.
Kisha ajikabidhi kwa Mungu kuandaa maisha ya peponi.