Sawa boss😅Nipo bonyokwa...niletee wali nyama chap Kabla ya saa 7
Sawa boss😅Nipo bonyokwa...niletee wali nyama chap Kabla ya saa 7
Nchi Gani hiyo?
Wanafanyaje Hao? Mimi mwLimu Na Sina TendaTanzania hii hii pole kma huna habari [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikosea, ilikuwa namba 9.Hivi unajua watu wanafundishwa kwa saa dollar 20 unalijua hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] bado wengine wanalipwa kwa wiki laki na ana fundisha nyumba hata 4 kwa wiki
Vipi kuhusu spea za magari, pikipiki na bajaj?
Namba 8 nakupinga.
magari saivi yamepaki kwa wamasai tunatwmbea kwa miguu mpk mafuta yashuke beiVipi kuhusu spea za magari, pikipiki na bajaj?
Namba 9 nakupinga.
Una uzoefu nayo??number 8 is biashara ya kufanya, naunga mkono hoja
Hili jua ukipiga mihuri lazima uumuke mwili, kweli binadamu tunateseka sana.magari saivi yamepaki kwa wamasai tunatwmbea kwa miguu mpk mafuta yashuke bei
Iyo namba 6 uwa naitaman sana tatzo connection connection daaaaaaaaaahBiashara 15 ambazo zinalipa kwa sasa.
1. Kupika kwa oda
2. Urembo(kusuka,makeup,kucha)
3. Kilimo cha mbogamboga
4. Kupiga picha (wazee wa Location)
5. Kupanga sherehe/Matukio(Event planning)
6. Kutembeza watalii
7. Ushonaji nguo
8. Kufundisha (Tuition)
9. Biashara ya saluni ya kiume
10. Kuuza miti ya maua
11. Kufulia watu nguo majumbani.(watu wako busy mno)
12. Famasia na madawa
13. Vifaa vya ujenzi
14. Vifaa ya Uani(toilet paper, diaper za watoto,dawa za chooni)
15.vifaa vya Elektroniki.
Umesahau moja biashara ya movies storeBiashara 15 ambazo zinalipa kwa sasa.
1. Kupika kwa oda
2. Urembo(kusuka,makeup,kucha)
3. Kilimo cha mbogamboga
4. Kupiga picha (wazee wa Location)
5. Kupanga sherehe/Matukio(Event planning)
6. Kutembeza watalii
7. Ushonaji nguo
8. Kufundisha (Tuition)
9. Biashara ya saluni ya kiume
10. Kuuza miti ya maua
11. Kufulia watu nguo majumbani.(watu wako busy mno)
12. Famasia na madawa
13. Vifaa vya ujenzi
14. Vifaa ya Uani(toilet paper, diaper za watoto,dawa za chooni)
15.vifaa vya Elektroniki.