Biashara ambazo zinalipa kwa sasa

Big Phil

Member
Nov 20, 2019
50
338
Biashara 15 ambazo zinalipa kwa sasa.

1. Kupika kwa oda
2. Urembo(kusuka,makeup,kucha)
3. Kilimo cha mbogamboga
4. Kupiga picha (wazee wa Location)
5. Kupanga sherehe/Matukio(Event planning)
6. Kutembeza watalii
7. Ushonaji nguo
8. Kufundisha (Tuition)
9. Biashara ya saluni ya kiume
10. Kuuza miti ya maua
11. Kufulia watu nguo majumbani.(watu wako busy mno)
12. Famasia na madawa
13. Vifaa vya ujenzi
14. Vifaa ya Uani(toilet paper, diaper za watoto,dawa za chooni)
15.vifaa vya Elektroniki.
 
Biashara 15 ambazo zinalipa kwa sasa.

1. Kupika kwa oda
2. Urembo(kusuka,makeup,kucha)
3. Kilimo cha mbogamboga
4. Kupiga picha (wazee wa Location)
5. Kupanga sherehe/Matukio(Event planning)
6. Kutembeza watalii
7. Ushonaji nguo
8. Kufundisha (Tuition)
9. Biashara ya saluni ya kiume
10. Kuuza miti ya maua
11. Kufulia watu nguo majumbani.(watu wako busy mno)
12. Famasia na madawa
13. Vifaa vya ujenzi
14. Vifaa ya Uani(toilet paper, diaper za watoto,dawa za chooni)
15.vifaa vya Elektroniki.
Vp kuhusu mtaji na location na uzoefu
 
Vipi kuhusu spea za magari, pikipiki na bajaj?

Namba 8 nakupinga.

Hivi unajua watu wanafundishwa kwa saa dollar 20 unalijua hilo bado wengine wanalipwa kwa wiki laki na ana fundisha nyumba hata 4 kwa wiki
 
Back
Top Bottom