Bia ya Balimi

Kama umezoea kunywa castle lager tano usije ukajaribu Balimi....ni bei rahisi lakin alc yake ni 5.8...hatari sana.
4af39f462e6bbc296625909bf5ccad27.jpg
 
Kama umezoea kunywa castle lager tano usije ukajaribu Balimi....ni bei rahisi lakin alc yake ni 5.8...hatari sana.

Haaa sio mchezo na hizo Bashite, maana ukila nne lazima kichwa kiwe ZERO, mwezi ujao vitatoka vichupa vidogo vya Bukubuku
 
Basi tumetofautiana sana vichwa balimi 4 mnalewa...labda kama unachanganya na viroba ila kavukavu labda 8
 
Mimi siyo mnywaji ila nahisi anayekunywa na kuchelewa kulewa huyo maana yake unywaji haumfai.

Lengo la pombe si ulewe? Sasa kama juu ya bia tatu ndiyo unalewa jua wewe hizo ishu hazikufai, unafosi. Ila ukiona ukinywa moja tu unayumba basi wewe ndiyo mlevi wa ukweli.

Njoo tu tunywe juisi tukaribishe nzi.
 
Back
Top Bottom