mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 193
.it is not fair kumfananisha mwanamke na pombe
.Sure hata mi naunga mkono, si busara kumfananisha mwanamke na bia. Acha inaboa ndugu, think of your mother!
so beer is better than your mom and sisters duuu kashfa nyingine .....
Jamani si mshaambiwa ni jokes au hamsomi title za majukwaa? batu bengine ngumu kumesa (kuelewa) aisee
wee serengeti moto na kitimotokavu imeshindkanakama mnazungumzia ndovu baridi sawa!

Sababu 6 kwanini bia ni bora kuliko mwanamke

1. Ukienda baa una uhakika wa kupata bia bila kubembeleza

(haina mapozi)

2. Ukiagiza bia ya pili ya kwanza haichukii.

(haina wivu)

3. Unapoagiza bia una uhakika wewe ndio wa kwanza kuifungua

(huwa bikira)

4. Unaweza kushirikiana bia na mwenzako bila wivu wowote.

5. Wakati ukinywa bia hata ukojoe mara ngapi

(hamu haiishi)

6. Bia siku zote haiendi mwezini wala haina siku zake. Jamani bia iacheni iitwe bia.

it is not fair kumfananisha mwanamke na pombe