Bia mbovu au nzima?

Bia mbovu au nzima?

Mr Miyagi

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
935
Reaction score
1,668
Kwa wale wanywaji wa pombe,pale unapofungua bia halafu inafuka povu jingi hadi kumwagika,inamaanisha ni mbovu au...Msaada tafadhali!.
 
mara nyingi watu wanasemaga mbovu lakini wahusika wanafaa watufafanulie zaidi
 
Ukiona hivyo, badilisha kinywaji, anza kunywa maziwa, ni kinywaji kizuri sana kwa afya yako, ukilinginisha na hicho kileo chako ambacho kina athari kubwa kwa afya yako.
 
Inategemea. Inawezekana ilifunguliwa vibaya(nzima)au mbovu.
Kuhakikisha ipige pige kidogo kwenye kitako cha chupa kama itaendelea kufoka na kumwagika basi ni mbovu. Kama haitafoka basi nzima.
Au mwaga kidogo chini kwenye sakafu endapo itatoa povu basi nzima isipotoa povu mbovu. Isinywe utaharisha mpaka ukome
 
Hujatuambia inayofoka no baridi au moto..?
 
Hahaha @-----.
Hapa nilipo sa hivi natoa lock,karibu
 
Inategemea. Inawezekana ilifunguliwa vibaya(nzima)au mbovu.
Kuhakikisha ipige pige kidogo kwenye kitako cha chupa kama itaendelea kufoka na kumwagika basi ni mbovu. Kama haitafoka basi nzima.
Au mwaga kidogo chini kwenye sakafu endapo itatoa povu basi nzima isipotoa povu mbovu. Isinywe utaharisha mpaka ukome

Hapo sawa kabixa mkuu...ila mm nilishawahi kunywa bia imefloat ila haikunidhuru, vp hyo imekaaje???
 
Kwa wale wanywaji wa pombe,pale unapofungua bia halafu inafuka povu jingi hadi kumwagika,inamaanisha ni mbovu au...Msaada tafadhali!.
Hiyo bia ni ya moto
na huenda ikawa ni Safari Lager
ili kuelewa mwambie akuletee na ya baridi utaona tofauti yake

Bua mbovu ni ile unapoifungua ikafoka mpaka mwisho bila kutulia
au ukaigonga chupa hiyo yenye bia kwa chini utaona inafaka povu hiyo ndio mbovu
 
Back
Top Bottom