[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kirikuu imekuwa 2000, tumeamua kurudi kwenye bia kubwa a.k.a mitungi ya gesi
Kirikuu ni pombe ganiKirikuu imekuwa 2000, tumeamua kurudi kwenye bia kubwa a.k.a mitungi ya gesi
Ni habari za kweli kabisaleo nimeenda baa naambiwa kilimanjaro ndogo 1700 ni kweli?
Mbia ndogo zinaitwa virukuu
Yeah, uchumi unakuwa kwa kasi sana. We are on the right track to become a donor country
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji16]Kirikuu imekuwa 2000, tumeamua kurudi kwenye bia kubwa a.k.a mitungi ya gesi
Ni kweli, mi naendelea na Pilsner - nikibadilisha nakamata Kil haijapandaleo nimeenda baa naambiwa kilimanjaro ndogo 1700 ni kweli?