Bia gani hii?

Hahahaha Jina nimeisahau ila sifa zake Ukiitazama tu unalewa.. Hapo ujaitia kinywani..!
 
Bia kama hii unywe mchana kweupe ulisha Shiba ugali pande mwenyewe inashuka vizuri sana.
 
Mshana iyo itakuwa Biere du jamba [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo maana serengeti boys wanayapenda ma mama makubwa kama hili-ona huyo alivyotulia utadhani kafyatuliwa na kompyuta aina ya apple
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…