Hii sasa inatia wasiwasi mkubwa mh Lowasa kuhudhuria makanisani na misikitini kama mgeni rasmi. Ni viongozi wa makanisa au misikiti ndio wanamwomba au yeye binafsi ndie anayetengeza mazingira ya kualikwa kuwa mgeni rasmi?....kama viongozi makanisani ndio wanamkaribisha ni kwa malengo yapi?..ana hela nyingi au ana moyo wa utoaji?....kama ni yeye mh, ana mkakatiwa kurahisisha mbi zake za urais 2015. Ni kwa sababu gani kushadidia kuwa chadema wana udini wakati udini unafanywa na viongozi kama hawa?...madhara ya hili ni nini? Anayefanya na wanaofanyiwa wanajua namna ya kulipana fadhila?...lini na namna gani?....