Bi Kidude Enzi Zake alivyokuwa kijana na sasa jinsi alivyo

Lakini wapi Mshumaa uliozima kwenye giza totoro ahhh Mungu amlaze Pema Peponi bi Kidude Amina..............

[h=2]Msiba wa Bi KIDUDE.......PICHA[/h]











 
Huyu mwanamke alikuwa na sio wa kawaida!...inaonekana aliula ujana wake vizuri, lkn pia akaufaidi uzee fresh tu!! bia fegi...ujanai hadi uzeeni! RIP Kidude!
 
kufikia umri wa uzee sio swala la bahati hata kidogo, if other factor remain constant assume no accident ina tegemea umejiandaaje je ume utumiaje muda wako hapa duniani umejitunza, umewaheshimu wengini, na wazazi, kwa hao walio tajwa hapo juu wakifanya hivi vitu au kama wanaya timiza haya yote wata fikia umri wa uzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…