MUME; baada ya kuoa ikawa anamwambia BI~HARUSI mke wangu! Nina Mambo 2 ya Kufurahisha na Kuhuzunisha je nianze Kukwambia lipi?
MKE: Anza la Kufurahisha
MUME: Akamuonyesha Uume wake; "Akamwambia umeuona MUZIKI huu ni Inchi~9
MKE: Akafurahi ikamtoka WAOW! akalibusu kwenye kichwa Mwaaaaa.. Akasema~tena Haya~niambie la Kuhuzunisha
MUME; Dude lote hili lkn Halisimami;
MKE; Akapoteza Fahamu!
Mkuu kwani wanaoiba, wanaozini, wala rushwa, wachungaji wanaokula kondoo, wauaji na wengine kama hao hawaijui biblia vizuri?
Kwanza kabla sijaendelea hebu tuambie nani aliyefungisha ndoa ya Ibrahim na Sara?, Samson na Delila?, Joseph na Maria? na vyeti vyao vya ndoa vimetajwa wapi kwenye biblia.Hata kama wanaijua...kuasi kwa mtu kusikufanye umsahau Mungu,kwani kila mtu atasimama peke yake mbele za Mungu kwa hukumu.
Usitake kujitetea hapa,mbona siku zote mnahimiza watu wasali kwa umoja wasijitenge na kusali peke yao kama unajua kila mtu na Mungu wake na kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe?Hata kama wanaijua...kuasi kwa mtu kusikufanye umsahau Mungu,kwani kila mtu atasimama peke yake mbele za Mungu kwa hukumu.
Ndiyo akome, wakiambiwa maisha ya leo usinunue gari bila kutest jiko (injini) wanajifanya walokole, sasa limemkuta anajifanya kuzimia kwani akiamka atalikuta limesimama?
Hata kama wanaijua...kuasi kwa mtu kusikufanye umsahau Mungu,kwani kila mtu atasimama peke yake mbele za Mungu kwa hukumu.
Mmmmm kazi ip
o harusi imetumbukia njongo ndio ile kusema aaak mie mpaka tufunge pingu sasa itabidi atafute mdhamana kwa mchungaji aliyefungisha ndoa hio
mai weeee! nimecheka kweli, afu nimemwonesha bi harus aliyefunga ndoa mwenzi ulopita. duh kacheka kweli!