Bi cheka amepotelea wapi?

Bi cheka amepotelea wapi?

Mauja

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2014
Posts
508
Reaction score
275
Hivi huyu msanii kizee wetu alietamba na nyimbo zake muda fulani hivi yuko wapi
Mwanzoni alisema hawapi tena wasanii nyimbo zake coz hawamlipi vizuri akajinadi kua anaimba mwenyewe sasa nina mwaka sijamsikia

Nani anajua habari za bi cheka wadau
 
Duh huyo Bibi uzee kauacha chalinze halafu wamefanana sana na mh pinda Sijui nimapacha wa mfuko mmoja
 
yupo anatafuta pesa ya fundi sh200000, anasema ameshanunua matofali na saruji bado hela ya fundi
kwa mwenye msaada amtafute bi cheka au mkubwa fella
 
Yupe bize na studio mwanzoni mwa mwaka ujao wanatoa album yao ya pamoja aliyoshirikiana na ali kiba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom