Bi. Azza bint Abdulkheir apewa mtaa kilwa kivinje

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,963
30,311
Nyumba ya Bi. Azza bint Abdulkheir ilikuwa Zawiyya ya Tariqa Qadirriya lakini nyumba hii pia ilikuwa kituo cha wanachama wa TANU katika kupigania uhuru wa Tanganyika.

Mwalimu Julius Nyerere alikuwa akiwa Kllwa hii ndiyo nyumba aliyokuwa akifikia na kulala.

Bi. Azza bint Abdulkheir kakumbukwa na kapewa mtaa kwa kuthamini mchango wake wakati wa kupigani uhuru wa Tanganyika.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…