Beyond Incompetence: Reform the AG Office

We mama upo țoo emotional,umeandika ujïnga mtupu
 
Yaan umemaliza mkuu, ndio maan mzee Mkapa aliwaonya viongoz wa sasa jinsi wanatamka 'Serikali ya Magufuri' au 'Serikal yangu' badala 'Serikal ya ccm'

Hata hiyo kauli ya "serikali ya ccm" siyo nzuri sana. Kila mtu anajua ccm ndiyo iliyoshinda uchaguzi; Mzee Mkapa alikuwa anajaribu tu kuonyesha njia mbadala ya kusifia kuliko hii ya kumtukuza mtu mmoja. Serikali ikishaingia madarakani kugeuka kuwa ya wananchì wote.
 
Ha ha ha Mselewa unasushwa grade huku.
 
We are not happy at all for what happened as others think. we are only trying to remind the government about rule of laws and the building of National unity
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…