Beyond Incompetence: Reform the AG Office

The thread was written in english,then it has been discussed in swahili
My thought,lets discuss it in english so to reduce the number of meaningless replies
This is not JF palace lol! We are not limited to discuss in English only
 
Ofisi ya Ag kuna shida wapo wa kutimuliwa tena mapema lakini waliachwa. Rais Magufuli muda umefika wa kuisafisha hiyo ofisi. No wonder ati wamejazana mawakili 16 mahakaman wkt wangekua wawili wangetosha haya ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu. Kitengo ch mikataba cha kufunua na wale walio liingizia taifa hasara kwa kusain mikataba butu wafikishwe mahakaman wafilisiwe na nashauri ifanyike diplomatic meeting kati ya sisi na saouh africa tuikomboe ndege yetu ya serikali.
 
Dah! Haya madeni yatatuweka kwenye mvutano na wadeni kila mara
 
Hilo ni sehemu ya deni Dogo sana kati ya madeni makubwa ambayo ATCL inadaiwa,kuna deni ATCL inadaiwa na kampuni iliyowakodisha AB320-200miaka ya 2006 cha msingi serikali ikae na wadeni wakubaliane ni namna gani itakuwa inalipa kuepukana na kukamatwa ndege kila siku.

Isitoshe mkurugenzi Wa SAA kwa sasa ni yule Jamaa alikuwa Fastjet Nico Bendzohuert hapa alifunga kampuni akidai ATCL inawahujumu kupitia TCAA na aliwahi kusema kwa serikali yetu jinsi ilivyo ni ngumu sana mwekezaji serious kwenye Aviation akawekeza,


Kumbukeni ndege ya Fastjet imeshikiliwa hapa kwa kibali cha mahakama na wafanyakazi Wa Fastjet, hapa inaweza zikawa ni hasira za Nico kama kulipa kisasi kwa kuwa yeye mwenyewe bado ana hisa Fastjet.


Sasa serikali msije mkafanya majadiliano kushinikiza Fastjet waondoke na ndege bila kulipa wafanyakazi.
 
Mkuu sisi wengine maimuna, ungeweka hapo chini na nyingine ya KISWAHILI, tutukuze kiswahili chetu.. Ni vyema tukakienzi kiswahili chetu, kuna mahali umeandika Tanzania bila shaka utakuwa unaizungumzia nchi yetu ya maziwa na asili basi ungeandika kwa kiswahili ili wote tuelewe na kuchangia hili linalohusu Tanzania yetu..
 
The planes belong to the government so the AG should have known all the legal implications of flying our planes beyond our air space knowing very well that our ATCL owes the likes of SAA. Soon we'll be flying to Gatwick so more care is needed!
Kwani inadaiwa serikali au inadaiwa ATCL?

AG siyo mwanasheria wa ATCL
 
Deni lilikuwepo n awamu iliyopita walikuwa wanalipa kdg kdg km walivyokubaliana. Sasa zama hizi zikagoma. Tetesi tu
 
We expected this gargantuan dangerous situation to strike and unleash it's inherrent panic en mass as it is now witnessed. Myopist can't forge proper way out of this formidable economic labyrinth.
 
"Ni vizuri zaidi Dr Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge.." Nafikiri ni CCM presidential candidate alisema hv 2010. JK anaelewa mziki wa Lissu.
 

Wewe si mtoa blowjob mkubwa wa Jiwe!??

Endelea kumpa blowjob!

Dont stop,go ahead!
 
Me and we of the people and tanzania sad and the government sad very much plane catched south afrika? The mabeberuz happy and not Magufuli leading country caled tanzania is the reason of catched they see wivu of magufuli the bulldoza.
 
Hata hiyo ndege siyo ya ATCL ni ndege ya serikali.. ATCL wamekodisha.. Take note.
Acha kupotosha! Ndege ni ya ATCL ila imekuwa camouflaged kama imekodishwa! Kama serikali inafanya uhuni wa kukwepa kulipa deni basi viongozi wetu wote ni matapeli!
 
Naunga mkono hoja...

Tume iundwe kuchunguza wapi tunakosea mpaka ndege yetu kukamatwa kisa deni...

Kama ni madeni mbona tubadaiwa mengi tu toka awamu ya kwanza, why iwe sasa kukamatiwa vitu vyetu...

Something is not wright...


Cc: mahondaw
 
Ukisikiliza vizuri kauli za viongozi wetu wa sasa utaona kwambà kuna mgongano baina yao na wenzao waliowatangulia. Katika mazingira hayo upo uwezekano kabisa wa madeni ya vipindi vilivyopita kutopewa kipaumbele kulipwa. Ulipaji wa madeni unahitaji mpango na bajeti. Sidhani ni kazi ya AG kuchunga mali za nchi zisikamatwe kutokana na madeni.
 
Office ya AG ni dhaifu mno ukianzia na AG mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…