Beyond Incompetence: Reform the AG Office

Inoted something fishy “George masaju was very competent” you are kiding sir or you are coming from another planet
So you want to compare him with Killangi who is NOT QUALIFIED to the position as per Constitution of Tanzania. A person who has been appointed to the position on tribal lines and sheer favouritism.

Kuna tofauti mtu anapoteuliwa kwenye nafasi kwa sababu Msukuma na Msukuma anapostahili nafasi ya kitaalamu.
 
Nina uhakika hujui tatizo ni nini.subiri tutape taarifa ndio utoe povu
Hata wakiwekwa mawakili 100 ndio kazi yao wameajiriwa kuitetea serikali
Kila wakili kapewa hoja yake ya kuipangua
 
Our beloved genius of our country has failed again?
 
Nimeelewa ila kucoment kingereza ndo tatizo anyway ngoja nivumilie ikinibidi nitacomment kwa kiswanglish
 
Congratulations for vividly expressing the indignation felt by many of us.
 
mkuu embu tafsiri kwa kiswahili sie wengine elimu ngumbalu
 
Hatari sana. Nimeguswa na issue ya Lissu... Mawakili 16 against 4 Lissu advocates.

Ratio ni 4:1
 
Ofisi wa AG imeshakuwa reformed kwa tangazo la serikali namba 48 la mwaka 2018 kwa ofisi Mpya ya Wakili Mkuu wa Serikali kuanzishwa. Ambapo sasa majukumu ya hiyo ofisi yamebadilika, kwani sasa kesi zote za madai dhidi ya serikali amehukua yeye (Wakili Mkuu) na ndio maana kuna wanaharakati wanapiga kelele kwa kukosa ulaji kwani ndio walikuwa wamehodhi makesi ya madai ya baadhi ya taasisi za serikali.
 
ATCL plane seizure is a sum total of micro management! Watendaji wanasita kufanya maamuzi kwani ama hata wakiamua huenda watapuuzwa au kutumbuliwa; mbaya zaidi inawezekana hicho sio kipaumbele cha paymaster general! kindly direct your venom at the micro manager, waliowahi kuyasema haya walikutana na risasi za moto.
 
You are shooting a wrong target. The one and only office that need to be reformed is the highest office.
Your right .since high office decision to comes with idea that's government funded corporation it's different with government loaned corporation .meanwhile all it's a same in eyes of the business law's.So All this is because of government idea that's can cheats law's of world by this simple trick
 
Mzee Mwanakijiji, with due respect, are you advocating for our nation to escape our responsibilities? Are you advising our legal team to teach our president how to break laws at home and abroad? Do you think we can make any progress by trumping on the rights of others and expect to be advised how to walk free?
ZIKAMATWE ZOTE. HATA SERVICE WANAOGOPA KUPELEKA HUKO KWA MABEBERU MAANA HAZITARUDI.
 
Foolish people trying to fool the civilised people. IT SHALL NEVER HAPPEN. MPAKA SERVICE ZINASHINDIKANA KWA SABABU ZIKIENDA HAZITARUDI.
 
Kwani inadaiwa serikali au inadaiwa ATCL?

AG siyo mwanasheria wa ATCL
Hiyo janja janja ya kubadirisha jina, la shirika haisaidii, mala tumewakodisha tu hao, wakati mmiriki ni serikali labda jina la nchi libadirishwe pia!!, sio ndio mwende na hoja hizo mahakamani?!! Dawa ya deni ni. Kulipa tu na sio janja janja
 
I see ! I do share your vivid frustration with our AG office functioning ! Trust me some people are gonna be in very serious trouble here !
 
Ofisi ya AG wako busy na Ubunge wa Lisu hukusikia jana kulikuwa na mawakili wa serikali 15 mahakamani???? vyombo vyetu wa usalama wa nchi visipoacha siasa nakulinda mslahi ya taifa letu basi tutapigwa kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…