Beyonce releases song with Swahili lyrics for the upcoming Kenyan themed movie 'Lion King'

Chimbuko lake pwani ya Kenya. Lugha ya taifa tangu Kenya ilipopata Uhuru.
Get your facts right
 

Tafsiri ya "Long live" sio milele, tafuta mtu akupe darasa la Kiswahili na Kingereza, wacha kujitia aibu.
 
Tafsiri ya "Long live" sio milele, tafuta mtu akupe darasa la Kiswahili na Kingereza, wacha kujitia aibu.
Na ndio maana ni kasema mnafanya direct translation, "uishi milele mfalme" maana yake ni ufalme wake udumu since ufalme ni mfumo wa uongozi wa kurithishana basing on bloodlines na sio vingnevyo

Hivyo "mfalme uishi milele" ina maana ufalme wake usijekupinduliwa na mfalme mwingine kama ilivyokuwa desturi za falme za zamani na sio aishi milele kwa maana ya asife.
 
Nimesema lugha ya taifa wewe unazungumzia lugha rasmi
Tz ilikuwa vivyo hivyo usijidanganye
National -kiswahili
Official- English na sidhani kama mmebadilisha
Acha kutema pumba za kilabuni, lete ushahidi mezani kama nilivyofanya mimi.

Huwezi kusema eti national language is not an official language labda kama unataka nigawe darasa la hizo tofauti, sio unatema shudu hapa.
 
Acha kutema pumba za kilabuni, lete ushahidi mezani kama nilivyofanya mimi.

Huwezi kusema eti national language is not an official language labda kama unataka nigawe darasa la hizo tofauti, sio unatema shudu hapa.
Wee jamaa ficha upumbavu wako.
Unajiaibisha kwa ubishi wa kipumbavu
Forever =milele
Long time = muda mrefu.
Tatizo lako kiingereza kimekupiga chenga.

Kelb wahed.
 
Wee jamaa ficha upumbavu wako.
Unajiaibisha kwa ubishi wa kipumbavu
Forever =milele
Long time = muda mrefu.
Tatizo lako kiingereza kimekupiga chenga.

Kelb wahed.
Hatuendi hivyo wewe mama, kwenye lugha kuna conceptual semantic phrases which you can't define by picking single words.

Elimu hamna ninyi so siwashangai
 
Lion King wanapromote sana swahili..mm na dogo huwa tunangalia katuni zao disney junior
 
Mombasa, tanga znz, dar, pwani. Zaidi ya hapo wote wanaongea kiswahili kibovu. Tz wale wanotoka bara wote hawawezi tofautisha r and l, dha na za, tha na sa.
Wewe unaongea nini? Watu wa dar si ndio hawajui kutofautisha r na l.. Mimi nimeishi Moshi na Arusha sijawai kuona mwenyeji anasema kipolo badala ya kiporo
 
Jamaa we' ni juha kweli.unaleta biblia kama source ya evidence yako?
 
Acha ubishi mwingi kaka. Nenda kafanye kazi yako ya kuuza vibuni watoto wapate chajio😎
Kiswahili ni mali binafsi ya taifa la Tanzania, na itabaki hivyo miaka yote ni kama English kwa Britain hilo lipo hivyo, hii lugha tumeipambania sio kitoto na hatuwezi kuacha ninyi viherehere mdandie utukufu wetu

Kamusi ya kwanza ya kiswahili imetungwa Tanzania 1890s, Kenya imetoa Kamusi ya kiswahili late 2000s ,sasa which is which?

Kaa kimya
 
Uongo uliotukuka. Kiswahili si cha watanzania. Kujua lugha kwa ufasaha hakumaanishi unaimiliki.
 
Nyinyi wa-Kenya mnaokaa kwenye slums (kibera na kwingineko) huu ujasiri wa kujivuna mnautoa wapi? Eti lugha ya taifa lenu, damn it.
 
Nyinyi wa-Kenya mnaokaa kwenye slums (kibera na kwingineko) huu ujasiri wa kujivuna mnautoa wapi? Eti lugha ya taifa lenu, damn it.
wa vihere here hawa jamaa dunia nzima inajua.

unakumbuka ishu ya kwenda kufundisha kiswahili SA??matokeo yake mtu anakuja Nairobi anakuta watu wanaongea utumbo gani sijui huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…