Eti Kenya's national language? Mbona mnatuibia rugha yetu nyie wakenya?
Watanzania ndio wanajua kiswahili sana. Kenya ya pili (Mombasa na mashuleni) kwingine kibovu sana,then Rwanda and Congo. Kuna wanyarwanda wanaimba kwa kiswahili kitamu sana.Ambassadors of Christ choir. Napenda nyimbo zaosijui tufanyeje, Kiswahili kitukuzwe au sio? To be honest the Swahili language is shared in East and Central Africa...
Kweli....Mombasa ni kama Bongo...Rafiki yangu Mnyarwanda Kiswahili chake hakieleweki eleweki...WaKongomani nao lazima uwe makini sana(kuwaelewa)...Watanzania ndio wanajua kiswahili sana. Kenya ya pili (Mombasa na mashuleni) kwingine kibovu sana,then Rwanda and Congo. Kuna wanyarwanda wanaimba kwa kiswahili kitamu sana.Ambassadors of Christ choir. Napenda nyimbo zao
RughaEti Kenya's national language? Mbona mnatuibia rugha yetu nyie wakenya?
They are using my idea,
Beyonce features in Lion King
Image: COURTESY
"Uishi kwa mda mrefu mfalme," globally acclaimed pop star Beyonce sings in her latest song to feature in the upcoming film, The Lion King.
The American superstar has released the song which features lyrics in Kiswahili, Kenya's national language.
The song, Beyonce's Spirit, was released on Thursday and will be used as a soundtrack to Disney’s new version of The Lion King.
"Uishi kwa muda mrefu mfalme," a voice chants twice, with a deeper voice responding "uishi kwa".
The phrase means: "Long live the king."
Beyonce, voices the role of lioness Nala, next to lead character Simba, played by Donald Glover.
The song’s intro features words in Kiswahili that are saluting the king.
Beyonce used Facebook to confirm her long-rumoured involvement in the project.
Her other co-stars include Chiwetel Ejiofor as Scar and Seth Rogan as Pumba the warthog. James Earl Jones will play Mufasa, as he did in the 1994 original.
British comedian John Oliver has also been cast as Zazu, the hornbill voiced by Rowan Atkinson in the first film.
The Lion King is due for release on July 19 2019 - 25 years after the cartoon original, which was one of the biggest animated film of all time.
The film will be directed by John Faveau who directed the recent remake of The Jungle Book.
The Lion King isn't the only live-action Disney remake being released in 2019. Other movies include Dumbo and Aladdin.
Beyonce releases new song with Swahili lyrics
The Lion King soundtrack released on Thursday has a Swahili intro saluting the king.www.the-star.co.ke
Hakika umesema kweli.Watanzania ndio wanajua kiswahili sana. Kenya ya pili (Mombasa na mashuleni) kwingine kibovu sana,then Rwanda and Congo. Kuna wanyarwanda wanaimba kwa kiswahili kitamu sana.Ambassadors of Christ choir. Napenda nyimbo zao
Lugha siyo RughaEti Kenya's national language? Mbona mnatuibia rugha yetu nyie wakenya?
Kweli....Mombasa ni kama Bongo...Rafiki yangu Mnyarwanda Kiswahili chake hakieleweki eleweki...WaKongomani nao lazima uwe makini sana(kuwaelewa)...
Eti "rugha"Na kwa style hii wacha tu watuibie maana hakuna namna tena.Eti Kenya's national language? Mbona mnatuibia rugha yetu nyie wakenya?
Hahahh et rugha yetu. Kuandika kwenyewe hujui. Na kweli rugha yenu wenye kiswahili wanasema lugha.Eti Kenya's national language? Mbona mnatuibia rugha yetu nyie wakenya?
Mombasa, tanga znz, dar, pwani. Zaidi ya hapo wote wanaongea kiswahili kibovu. Tz wale wanotoka bara wote hawawezi tofautisha r and l, dha na za, tha na sa.Watanzania ndio wanajua kiswahili sana. Kenya ya pili (Mombasa na mashuleni) kwingine kibovu sana,then Rwanda and Congo. Kuna wanyarwanda wanaimba kwa kiswahili kitamu sana.Ambassadors of Christ choir. Napenda nyimbo zao
Tunaoodema Kenya ni baba na mama yso mnabidha. Tszams sasaNa kweli hiki kiswahili cha Kenya kabisa, sababu phrase ya "long live the king" au "God save the queen" kwa kiswahili fasaha ni "mfalme uishi milele" au "mfalme adumu milele" na sio huo uchafu wa uishi kwa muda mrefu, yaani nyinyi mnafanya lame and nonsense direct translation.
😅😅😅😅Hahahh et rugha yetu. Kuandika kwenyewe hujui. Na kweli rugha yenu wenye kiswahili wanasema lugha.
Labda limama lisilojielewa, ninyi kiswahili kimekuwa official language Kenya 2011, sasa mtawaambia nini Tanzania wenye kiswahili chao since day one?Tunaoodema Kenya ni baba na mama yso mnabidha. Tszams sasa
Nani aliyekudanganya wewe sehemu zote za mikoani maeneo ya mjini mjini wanaongea lugha fasaha labda wale wanaotokea vijijini wengi wameathiriwa na lugha zao za asili kiswahili mimi naona watu wa dar kiswahili ndo hamna kitu kabisa ata watangazaji wenu makanjanja kwenye r wanatamka l badala ya kutamka lugha wanatamka luga bisha na hiloMombasa, tanga znz, dar, pwani. Zaidi ya hapo wote wanaongea kiswahili kibovu. Tz wale wanotoka bara wote hawawezi tofautisha r and l, dha na za, tha na sa.