Beyonce releases song with Swahili lyrics for the upcoming Kenyan themed movie 'Lion King'

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,528
47,775
Beyonce features in Lion King
Beyonce features in Lion King
Image: COURTESY

"Uishi kwa mda mrefu mfalme," globally acclaimed pop star Beyonce sings in her latest song to feature in the upcoming film, The Lion King.

The American superstar has released the song which features lyrics in Kiswahili, Kenya's national language.

The song, Beyonce's Spirit, was released on Thursday and will be used as a soundtrack to Disney’s new version of The Lion King.

"Uishi kwa muda mrefu mfalme," a voice chants twice, with a deeper voice responding "uishi kwa".

The phrase means: "Long live the king."

Beyonce, voices the role of lioness Nala, next to lead character Simba, played by Donald Glover.

The song’s intro features words in Kiswahili that are saluting the king.

Beyonce used Facebook to confirm her long-rumoured involvement in the project.

Her other co-stars include Chiwetel Ejiofor as Scar and Seth Rogan as Pumba the warthog. James Earl Jones will play Mufasa, as he did in the 1994 original.

British comedian John Oliver has also been cast as Zazu, the hornbill voiced by Rowan Atkinson in the first film.

The Lion King is due for release on July 19 2019 - 25 years after the cartoon original, which was one of the biggest animated film of all time.

The film will be directed by John Faveau who directed the recent remake of The Jungle Book.
The Lion King isn't the only live-action Disney remake being released in 2019. Other movies include Dumbo and Aladdin.

:D:cool::D sijui tufanyeje, Kiswahili kitukuzwe au sio? To be honest the Swahili language is shared in East and Central Africa...
Watanzania ndio wanajua kiswahili sana. Kenya ya pili (Mombasa na mashuleni) kwingine kibovu sana,then Rwanda and Congo. Kuna wanyarwanda wanaimba kwa kiswahili kitamu sana.Ambassadors of Christ choir. Napenda nyimbo zao
 
Kweli....Mombasa ni kama Bongo...Rafiki yangu Mnyarwanda Kiswahili chake hakieleweki eleweki...WaKongomani nao lazima uwe makini sana(kuwaelewa)...
 
They are using my idea,
I once asked them to sign me(employ) and i even sent them tales. They said they will keep and consider my new wave in six months. It was in 2000 when i was in high school. That was Bush house in London

My aim was clear, turning up side down "Tom n Jerry"

But anyway as an idea owner they have to work hard to get into original idea.
 
Watanzania ndio wanajua kiswahili sana. Kenya ya pili (Mombasa na mashuleni) kwingine kibovu sana,then Rwanda and Congo. Kuna wanyarwanda wanaimba kwa kiswahili kitamu sana.Ambassadors of Christ choir. Napenda nyimbo zao
Hakika umesema kweli.

Kama uko nairobi njoo hapa Malindi Dishes upate kahawa ndugu, sisi ni wamoja.

Baadae nitaenda hapa Jack n Jill kwa shop then naruka zangu Bongo
 
Kweli....Mombasa ni kama Bongo...Rafiki yangu Mnyarwanda Kiswahili chake hakieleweki eleweki...WaKongomani nao lazima uwe makini sana(kuwaelewa)...

Wakenya wa Pwani ikiwemo Mombasa wako poa Kiswahili, japo wao hawajajifungia kwenye lugha moja kama wafanyavyo Wabongo, yaani Mkenya wa Pwani anaweza akatirirka Kidigo (lugha ya asili), Kiswahili na Kingereza tena kwa ufasaha.
Hamna kitu hunipa fahari kama kukutana na mtu mwenye uwezo huo, kwamba hajatelekeza lugha yake ya asili na pia yuko poa kwenye lugha za kimataifa.
Huwa najitahidi sana niwe na uwezo huo, nikiingia kijijini unikute na wazee, utadhani mimi mzawa wa huko.
 
Na kweli hiki kiswahili cha Kenya kabisa, sababu phrase ya "long live the king" au "God save the queen" kwa kiswahili fasaha ni "mfalme uishi milele" au "mfalme adumu milele" na sio huo uchafu wa uishi kwa muda mrefu, yaani nyinyi mnafanya lame and nonsense direct translation.
 
Watanzania ndio wanajua kiswahili sana. Kenya ya pili (Mombasa na mashuleni) kwingine kibovu sana,then Rwanda and Congo. Kuna wanyarwanda wanaimba kwa kiswahili kitamu sana.Ambassadors of Christ choir. Napenda nyimbo zao
Mombasa, tanga znz, dar, pwani. Zaidi ya hapo wote wanaongea kiswahili kibovu. Tz wale wanotoka bara wote hawawezi tofautisha r and l, dha na za, tha na sa.
 
Na kweli hiki kiswahili cha Kenya kabisa, sababu phrase ya "long live the king" au "God save the queen" kwa kiswahili fasaha ni "mfalme uishi milele" au "mfalme adumu milele" na sio huo uchafu wa uishi kwa muda mrefu, yaani nyinyi mnafanya lame and nonsense direct translation.
Tunaoodema Kenya ni baba na mama yso mnabidha. Tszams sasa
 
Labda limama lisilojielewa, ninyi kiswahili kimekuwa official language Kenya 2011, sasa mtawaambia nini Tanzania wenye kiswahili chao since day one?

Kuanzia mjerumani amekuja Tanzania ilibidi ajifunze kwanza kiswahili ndio tuende sambamba. Ninyi muingereza alikuta ni vurugu mechi hamuelewani ikabidi awape msaada kwanza wa lugha ya English ndio mambo mengine yaendelee.
 
Mombasa, tanga znz, dar, pwani. Zaidi ya hapo wote wanaongea kiswahili kibovu. Tz wale wanotoka bara wote hawawezi tofautisha r and l, dha na za, tha na sa.
Nani aliyekudanganya wewe sehemu zote za mikoani maeneo ya mjini mjini wanaongea lugha fasaha labda wale wanaotokea vijijini wengi wameathiriwa na lugha zao za asili kiswahili mimi naona watu wa dar kiswahili ndo hamna kitu kabisa ata watangazaji wenu makanjanja kwenye r wanatamka l badala ya kutamka lugha wanatamka luga bisha na hilo
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom