Masafa Marefu
Member
- Jun 30, 2015
- 77
- 70
Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
Daah kumbe siko peke yangu!Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
Daah kumbe siko peke yangu!
Mie huwa napenda kuwatania "boss" na enfapo nimemzoea huwa naipapasa na kuikiss
Mie simuelewi Numbisa, labda hii kwa sababu ni twins anaona tumbo limekuwa kubwa sana.
Sidhan maana ile mimba ya kwanza alijificha sana. Na hata alipotoka kidogo hadharan picha zilitembea ni tumbo feki na hakukanusha wala kupiga picha kwa fujo kama mimba hii ya mapacha.
Una kumbukumbu nzuri sana, lakini ukweli wajawazito wanaume wengi tunawaona wako so sexy. Halafu anataka kuvaa nguo za kubana badala ya kuvaa nguo za wajawazito ambazo huwa zinawapendeza sana.
Yaani naweza kusema somehow ni confota wa hawa wazazi, hasa tuliokaribu, huwa na kautani flani ambacho wao wanaufurahia, na kumwonyesha kuwa unapenda kumwona alivyo anajisikia raha sana.lol! umenikumbusha bi dada mmoja wa Kiganda alikuwa anafurahia sana kupapaswa tumbo lake wakati wa ujauzito alidai alikuwa anasikia raha sana na motto alikuwa anatulia tuliiii hafany vurumai zako za kupiga mateke. Halafu bidada mwenyewe ni bomba sana.
Sio kidogo mkuuusupastaa tabu kweli
nyie tumbo la mimba linachosha afu mapacha si mchezo.Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
tupo la mapacha ni tofauti na tumbo la mtoto mmoja, mapacha si mchezo. kubeba viumbe wawili tumboni acha kabisa.Mbona ile mimba ya kwanza hakulalamika!kwa kauli hii naanza kuamini ile mimba hakubeba mwenyewe,alibebewa
Mwenzako wala hayupo kwenye habari ya uchovu. Mwenzako anataka avae nguo zile zile afu zimpendeze kama wakati hana mimba.nyie tumbo la mimba linachosha afu mapacha si mchezo.