evansGREATDeal
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 4,013
- 2,335
uzi wako umeongea upuuzi mkuu......Moderator rudisheni ile thread yangu kuhusu unafiki wa binadamu katika imani maana kwenye ule uzi nilisema kabisa siku hizi kila mtu ni Nabii/kila mtu ni Mchungaji na nikaongeza kuwa hakuna biashara inayolipa kama kuanzisha huduma za kiroho.
Ule Uzi niliuweka hapa siku 3 zilizopita ila nahisi uliondolewa.Nakumbuka niliongelea wakristo na makanisa na pia waislamu na misikiti.
Naomba mrudishe ule Uzi wangu kwasababu hata Baba askofu Mokiwa nae aliongea baadhi ya mambo yaliyofanana na Yale niliyoyasema.
Rudisheni ili waliokuwa wananitukana na kunikejeli wajitafakari kama walinitendea haki.
Binafs niliingia last week I observe itNinyi Ambao Hamuamini Ingieni Net Andikeni The National Church Of Bey, Mtapata Hadithi Nzima Hapo.
Kazi Ipo Wadau Ndo Imani Hizo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]~~~~~>Kwa makaf'r kila Jambo linawezekana .
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Guys haya ndio yale makanisa na medhehebu tunayoyasoma kwenye vitabu, the end is very near, mimi na confess nilikuwa ni mtu wa Mungu but ninachofanya sasa mda mwingine nashindwa kujielewa ila sasa nimeamua narudi kwenye mstari ilifika kipindi nikiona neno Mungu na skip thread humu JF wakati mm ndio nilikua napingana na faizafoxy na kahtaan
Nilikua naenda church daily asubuh saa kumi na mbili niko church azania front na ninatoka mbezi na ofisi iko kijitonyama, kama miezi 6 sasa sijakanyaga church, ila Mungu mi mwema nitakaa sasa nasali sana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji14]=Why dont I Trust this?
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] nimwizi kama wez wengine hana loloteWapi Askofu Zachary Kakobe..Askofu Pekee aliyekataa kabisa element zote za kishetani ikiwamo mawigi, surual, unabii wa uwongo...na dhambi nyinginezo zotee kwa ujasiri kabisa...
Endelea askofu najua kuna wengi wakupingao ila Mimi hata aje mtoto wako ezekiel akanipinga kuhusu wewe..Sitaweza kuacha kuyaishi mahubiri yako...
cc😡jf moderator
@Bishopzacharykakobe
kulocha ndio nini jombiHakuna cha palapanda wala nini, wazungu washashtukia kua hakuna mungu ndio maana wanaamua kulocha.
Amen..!njia ni ngumu mkuu.......
wacha tuliokuwa huku tuzd kuwa watakatifu.........
na wanaofata tamaa zao wazd kufata maana hawataki kuaminiiii
=dhehebujidanganye mkuu
hata kipindi cha NUHU watu walihubiriwa sana neno la MUNGU na wakakashifu kama wewe
ila yaliyowakuta baadae walijuta.......
jipange mkuu hizi siku za mwisho YESU anarudi aiseeeeee
wapo waliopinga kma wewe ikla leo hawapo.......siku za mwisho hizi mkuu
YESU YU KARIBU KURUDI WANDUGU
jambo hilo lipo mkuuuu
ni sahihi na hilo zehebu lake lina waumini pia....trust him
Mulhat Mpunga: Huwa mnaiba wote[emoji56][emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] nimwizi kama wez wengine hana lolote
alikuwa illuminati sasa ni mungu😎😎😎😎😎mkuu we unamuelewa vizuri huyo mdada?????
unajua kma ni agent mkubwa wa shetani/ibilisi???????
alikuwa mkristo zamani nw days ni jina2 ni devil uyo mdada.........
Dunia inaumwa
wooote wnaojifanyaa manabii mitume sijui kina upako ni wezi wasio na silaha.....Mulhat Mpunga: Huwa mnaiba wote[emoji56]
mkuualikuwa illuminati sasa ni mungu jay zee freemasonry
Prosper C Manasse unasemaje kuhusu hii comment?Satirical news, wafia dini wataichukua kama ilivyo na kuanza ku preach utadhani ni kweli, watu bwana. Kweli naamini tu wavivu wa kufuatilia mambo, nimeshangaa leo pia mtu fulani msabato akaanza kutoa neno aki refer kwenye hii issue. Kwa kweli sikumchelewesha nikamwambia toa mfano mwingine maana hilo umechemsha na haujafuatilia.
Website ya the news nerd akishuka chini kabisa kwenye about utakuta maneno haya
The stories posted on TheNewsNerd are for entertainment purposes only. The stories may mimic articles found in the headlines, but rest assured they are purely satirical.
Mwenye akili na ajiongeze...
Sasa Hapa Mkuu Ndipo Pakujiuliza, Kinachonishangaza Ni Watu Kumshambulia Mtoa Uzi Badala Ya Kushambulia Uzi.Kama ya Kibwetere yaliwezekana why not haya?
Now tuna mitume na manabii....