Beyonce atumia mafuta ya almasi.

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
[h=3]BEYONCE ATUMIA MAFUTA YA ALMASI.[/h]




[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Beyonce Knowles.[/TD]
[TD="class: tr-caption"][/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]





[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
<tbody>[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]Mafuta ya Almasi.[/TD]
[/TR]
</tbody>[/TABLE]
NEW YORK, MAREKANI : KAMA unajiuliza nini kinacho n'garisha ngozi ya

mwanamuziki Beyonce Knowles, basi jua ni mafuta ya yaliyo changanywa na

unga wa almasi yaitwayo " Natura Bisse Diamond '. Mwanamuziki huyo

anasema hutumia kipodozi hicho kilichomo kwenye chupa anayo itumia kwa

siku moja. Chupa hiyo huuzwa dola 85 za Marekani. Beyonce anasema

alionyeshwa mafuta hayo na rafiki zake lakini anashukuru yanaifanya ngozi yake in'gae muda wote.


" Mimi si mtu ninaye fuatilia sana mambo ya vipodozi, rafiki zangu walinishauri nikitafute kipodozi hiki, nashukuru ngozi inaendelea kuwa na nuru".
Alisema Beyonce.

CHANZO: Gazeti la MWANASPOTI
 
Ataishia kupata kansa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…