Nifah JF-Expert Member Joined Feb 12, 2014 Posts 34,411 Reaction score 82,338 Jun 19, 2017 #41 Beyonce na Jigga watu wakubwa duniani lakini wanatambua maana ya faragha,wanaficha baadhi ya mambo yao. Yule Bibi wa Uganga na kiben10 chake tulioneshwa video hadi akiwa labor, loh!
Beyonce na Jigga watu wakubwa duniani lakini wanatambua maana ya faragha,wanaficha baadhi ya mambo yao. Yule Bibi wa Uganga na kiben10 chake tulioneshwa video hadi akiwa labor, loh!
White party JF-Expert Member Joined May 5, 2015 Posts 1,037 Reaction score 1,179 Jun 19, 2017 #42 The Beast Among Men said: Wale mnaosema inabidi uwahi kuoa na kupata mtoto, hili la J kupata mtoto akiwa na miaka 47 mnasemaje? Kama unategemea watoto kama non current asset wahini kuoa na kupata watoto. Mengi kazaa watoto ana miaka zaidi ya 70. Click to expand... Wameshaandaa future hao ,bongo ukizaa umri huo unazaa yatima
The Beast Among Men said: Wale mnaosema inabidi uwahi kuoa na kupata mtoto, hili la J kupata mtoto akiwa na miaka 47 mnasemaje? Kama unategemea watoto kama non current asset wahini kuoa na kupata watoto. Mengi kazaa watoto ana miaka zaidi ya 70. Click to expand... Wameshaandaa future hao ,bongo ukizaa umri huo unazaa yatima
Joowzey JF-Expert Member Joined Nov 13, 2015 Posts 13,164 Reaction score 13,549 Jun 19, 2017 #43 Simple F said: Bora hawa mastaa wakubwa wanapata watoto kwenye ndoa zao lkn njoo Bongo bahat mbaya wanaweza kuigiza mambo mabaya kutoka mamtoni Click to expand... check hata jay z anavyonyoa fresh tu kiheshima na anavaa vizuri ukija bongo kuna msanii mara kaotesha kimchicha kichwani!
Simple F said: Bora hawa mastaa wakubwa wanapata watoto kwenye ndoa zao lkn njoo Bongo bahat mbaya wanaweza kuigiza mambo mabaya kutoka mamtoni Click to expand... check hata jay z anavyonyoa fresh tu kiheshima na anavaa vizuri ukija bongo kuna msanii mara kaotesha kimchicha kichwani!
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,146 Jun 19, 2017 Thread starter #44 Joowzey said: check hata jay z anavyonyoa fresh tu kiheshima na anavaa vizuri ukija bongo kuna msanii mara kaotesha kimchicha kichwani! Click to expand... Wenzetu wanajua kazi ya sanaa maana yake nini
Joowzey said: check hata jay z anavyonyoa fresh tu kiheshima na anavaa vizuri ukija bongo kuna msanii mara kaotesha kimchicha kichwani! Click to expand... Wenzetu wanajua kazi ya sanaa maana yake nini