WELL SAID MKUU.Hujui unachokizungumza.
Ngoja nikupe limu kidogo kwa kukujibu kwa hoja kabisa ili uelewe biashara hii ilivyo halali.
Je, Biashara halali ni ipi? Biashara halali ni ile ambayo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi, kama nchi kupitia serikali imeridhia na kuruhusiwa kuendeshwa nchini humo basi hiyo biashara ni halali. Hii pia huambatana na usajili pamoja na utambuzi.
Kubeti (betting) inatambulika rasmi nchini na ipo chini ya Tanzania Gambling Board.
Twende kwenye hoja zako;
1. Unajua maana ya Odds? Hiyo ndiyo thamani halisi ya Betting slip yako. Kama hujui kajisomee ili ujue maana yake. Ukiangalia uwiano wa kutokea kwa Ubashiri wako, bila shaka zinalandana. Endapo timu itaonekana kuwa na uwezekano Mkubwa wa kushinda ndivyo hivyo mtu atakapokuwa na kiasi kidogo cha kubashiri na kushinda.
2. Betting kama ilivyo biashara zingine na uwekezaji, ni biashara yenye risk kubwa sana kulinganisha na biashara zingine nyingine. Kutokana na kuwa na risk kubwa pia ina higher rate of return. Sasa uhalali wa hoja yako ya kusema kuwa betting inadanganya vijana kuwa ni rahisi i wapi?
3. Mwanzoni kabisa nimekuambia kuwa hujui unachokizungumza na ndiyo maana hujui ninkwa kiasi gani watu wanavyohangaika kuangalia katika predicting sites na kuangalia uwezekano wa kupatia katika ubashiri. Kuangalia rekodi za timu zinapokutana, kuangalia nafasi ya timu katika ligi, kuangalia idadi ya mechi zzilizoshinda na hata kuhusisha utabiri wa nyota ya timu husika ni njia za kufanikisha ubashiri uwe mubashara na mkeka ukubali.
4. Ukiliwa ni faida kwa aliyewekeza (mwenye betting) na ukila ni faida kwako. Huwezi tu from no where ukaanzisha kampuni ya kubet. Lazima uwe na mtaji ili ukiliwa hata kabla hujaingiza watu waweze kupata fedha zao. Kwa hiyo nadharia yako ya kusema kuwa ni ukusanyaji kwa ajili ya watu wachache ni Uongo . Alafu pia, mbona kuna kampuni za betting zinafilisika baada ya kuliwa tu? Tulia hapo acha biashara ifanyike.
Tajiri gani atakwambia ukweli wa uhalali wa utajiri wake,yapo mengi haramu watu wamefanya kuwa matajiri ila hakuna atakayekwambia ukweli,miongoni mwa hao matajiri unaowajua wewe kuna wengine walishapita pita kwenye haramu ambazo kwa namna moja au nyingine zimewafikisha walipo na usitake kutuaminisha pesa za betting ndo haramu pombe,cocaine,sigara etc pia biashara haramu na ndo maana kuna nchi zingine km za kiarabu ukienda hivi vitu ni adimu kuvipata mm nilidhani ungeongelea kwa upande wa dini kila kidunia betting ni halali na ndo maana wanalipa kodi tena kampuni za betting ni miongoni mwa walipaji kodi wazuri tuKatika orodha ya matajiri wakubwa duniani, africa na hata tanzania, hebu nitajie waliofika pale kwa kutumia betting, ili tuwatumie kama mfano kuwashawishi watoto wetu wakazane na kubet zaidi.
Dah! Wewe jamaaKubet ni jambo la hatari sana. Kwanza ni 'habit forming' yaani ukishazoea kubet huwezi kuacha. Utaiba pesa au uuze vitu vya nyumbani kwako ili mradi upate pesa za kubet. Unazoea kama vile mtu anavyokuwa mtumwa wa kuangalia picha chafu (pornography). Pili kama Makirita alivyoandika, kwenye nchi za wenzetu betting inafanyika kwenye maeneo maalum tu (yaani kwenye casino tu). Huko hakuna mtoto anayeruhusiwa. Hapa kwetu hata watoto wa shule wanabet. Wanajengewa mazoea mabaya sana. Tatu wanaobet wanadhani wanaweza kupata pesa kirahisi. Jiulize: Kama kila mtu anayebet anapata pesa kama alivyobet je, huyo mwenye kampuni inapolipa watu inapata wapi pesa za kulipa watu waliobet wakapata? Lazima ninyi mnaobet mjue kwamba wenye hayo makampuni wanapata mabilioni wakati wewe ukibet elfu 20 labda unapata laki tano ukibahatisha. Kama wewe unabet hebu andika mzigo unaoweka kwa miezi mitatu ulinganishe na kiasi unachoshinda kwa wakati huo. Utaona wazi kwamba utakuwa umeshakula hasara kubwa. Nne na mbaya zaidi ni kwamba unajijengea mazingira ya kuzoea kubahatisha mambo yako badala ya kuyapangilia kiakili
Acha dhihaka na kazi za watu hatufanani kimtazamo hata hivyo umejitahidi.Mtoa mada leo kazi unayo, sijui kama utapata mtu wa kukusapoti, watu wameshakua addicted na huo uchafu
Mkuu umemjibu vema. Kabla ya kuleta hayo mawazo yake alitakiwa kufanya uchunguzi kwa kina. Inaonyesha hata terms and conditions za betting hazijui.Hujui unachokizungumza.
Ngoja nikupe limu kidogo kwa kukujibu kwa hoja kabisa ili uelewe biashara hii ilivyo halali.
Je, Biashara halali ni ipi? Biashara halali ni ile ambayo ipo kwa mujibu wa sheria za nchi, kama nchi kupitia serikali imeridhia na kuruhusiwa kuendeshwa nchini humo basi hiyo biashara ni halali. Hii pia huambatana na usajili pamoja na utambuzi.
Kubeti (betting) inatambulika rasmi nchini na ipo chini ya Tanzania Gambling Board.
Twende kwenye hoja zako;
1. Unajua maana ya Odds? Hiyo ndiyo thamani halisi ya Betting slip yako. Kama hujui kajisomee ili ujue maana yake. Ukiangalia uwiano wa kutokea kwa Ubashiri wako, bila shaka zinalandana. Endapo timu itaonekana kuwa na uwezekano Mkubwa wa kushinda ndivyo hivyo mtu atakapokuwa na kiasi kidogo cha kubashiri na kushinda.
2. Betting kama ilivyo biashara zingine na uwekezaji, ni biashara yenye risk kubwa sana kulinganisha na biashara zingine nyingine. Kutokana na kuwa na risk kubwa pia ina higher rate of return. Sasa uhalali wa hoja yako ya kusema kuwa betting inadanganya vijana kuwa ni rahisi i wapi?
3. Mwanzoni kabisa nimekuambia kuwa hujui unachokizungumza na ndiyo maana hujui ninkwa kiasi gani watu wanavyohangaika kuangalia katika predicting sites na kuangalia uwezekano wa kupatia katika ubashiri. Kuangalia rekodi za timu zinapokutana, kuangalia nafasi ya timu katika ligi, kuangalia idadi ya mechi zzilizoshinda na hata kuhusisha utabiri wa nyota ya timu husika ni njia za kufanikisha ubashiri uwe mubashara na mkeka ukubali.
4. Ukiliwa ni faida kwa aliyewekeza (mwenye betting) na ukila ni faida kwako. Huwezi tu from no where ukaanzisha kampuni ya kubet. Lazima uwe na mtaji ili ukiliwa hata kabla hujaingiza watu waweze kupata fedha zao. Kwa hiyo nadharia yako ya kusema kuwa ni ukusanyaji kwa ajili ya watu wachache ni Uongo . Alafu pia, mbona kuna kampuni za betting zinafilisika baada ya kuliwa tu? Tulia hapo acha biashara ifanyike.
Ni kweli kabisa,Sijasema walipata utajiri kwa kubet bali huo ni mchezo wao pendwa na wao ndyo walioanzisha na wanahisa na kuidhamini hyo michezo nenda las vegas marekani ujionee lile ni jiji la michezo ya kubashiri. Maana ya mchezo ni ule ama uliwe au ushinde au ushindwe.
Sijawahi kubet kwenye maisha yangu na kamwe siji kufanya huo ujinga.Utakuwa umeliwa sana kwenye kubet,acha kudanganya uma kijana
Hujalazimishwa kusoma wala kucoment mkuu,Achana na maisha ya watu sio lazima tufuatishe mawazo yako ..
Hakika,Kubet ni jambo la hatari sana. Kwanza ni 'habit forming' yaani ukishazoea kubet huwezi kuacha. Utaiba pesa au uuze vitu vya nyumbani kwako ili mradi upate pesa za kubet. Unazoea kama vile mtu anavyokuwa mtumwa wa kuangalia picha chafu (pornography). Pili kama Makirita alivyoandika, kwenye nchi za wenzetu betting inafanyika kwenye maeneo maalum tu (yaani kwenye casino tu). Huko hakuna mtoto anayeruhusiwa. Hapa kwetu hata watoto wa shule wanabet. Wanajengewa mazoea mabaya sana. Tatu wanaobet wanadhani wanaweza kupata pesa kirahisi. Jiulize: Kama kila mtu anayebet anapata pesa kama alivyobet je, huyo mwenye kampuni inapolipa watu inapata wapi pesa za kulipa watu waliobet wakapata? Lazima ninyi mnaobet mjue kwamba wenye hayo makampuni wanapata mabilioni wakati wewe ukibet elfu 20 labda unapata laki tano ukibahatisha. Kama wewe unabet hebu andika mzigo unaoweka kwa miezi mitatu ulinganishe na kiasi unachoshinda kwa wakati huo. Utaona wazi kwamba utakuwa umeshakula hasara kubwa. Nne na mbaya zaidi ni kwamba unajijengea mazingira ya kuzoea kubahatisha mambo yako badala ya kuyapangilia kiakili
Kwahiyo akibet 50 cent ndo uhalali wa wewe kubet?Sasa mkuu kama 50cent anayeingiza dola laki 2 kwa kila SAA kutokana na Muziki pamoja na Investments zake anabet sembuse sisi ambao hatuna uwezo wa kuingiza hata Milioni 2 kwa siku...???
Endelea kujidsnganya hivyo hivyo,Tajiri gani atakwambia ukweli wa uhalali wa utajiri wake,yapo mengi haramu watu wamefanya kuwa matajiri ila hakuna atakayekwambia ukweli,miongoni mwa hao matajiri unaowajua wewe kuna wengine walishapita pita kwenye haramu ambazo kwa namna moja au nyingine zimewafikisha walipo na usitake kutuaminisha pesa za betting ndo haramu pombe,cocaine,sigara etc pia biashara haramu na ndo maana kuna nchi zingine km za kiarabu ukienda hivi vitu ni adimu kuvipata mm nilidhani ungeongelea kwa upande wa dini kila kidunia betting ni halali na ndo maana wanalipa kodi tena kampuni za betting ni miongoni mwa walipaji kodi wazuri tu
Mimi nilijua uhalali wa jambo lolote unatokana na mamlaka husika.Kwahiyo akibet 50 cent ndo uhalali wa wewe kubet?
Kwanza umemfatilia huyo 50 vizuri au una habari za juu juu za kujishawishi ubet?
Unajua kwa nini alifile bankruptcy?
Acha upumba hakuna biashara halali hapa mjini,labda ukalime mpunga ifakara waache watu wa betiEndelea kujidsnganya hivyo hivyo,
Na endelea kubet,
Siku utakapozinduka, utaendelea kulaumu serikali kwa maisha yako magumu.
Kila la kheri.
Aliye kwambia hako ka ugonjwa kanaambukizwaa tu na pipi ni nanSasa mbona huiamini hiyo pipi
Wacha wajimalize kila mtu na akili yake
Nawakumbusha leo madrid na barca..[emoji6]
Mh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aliye kwambia hako ka ugonjwa kanaambukizwaa tu na pipi ni nan