Better being Single-Ndoa majanga tu

Yamekukuta Mzee mwenzangu ...kwa hisani ya HardBlasterz.
 

endelea kujitoa tena sana, atarudi ktk hali yake ya kawaida labda ndio style yake ya kudeka we hujajua tu
 
Last edited by a moderator:
Hilo tatizo lako ni dogo sana mkuu, kwa upande wa tabia za wanawake huwa wanavijitabia very unique ambavyo huwezi kufananisha na wanaume kiufupi hilo siyo tatizo japo linakunyima raha piga moyo konde huyo ni wako tulia nae!
 

ulisha conclude mwenywe hapo kwenye nyekundu sasa sijui unatuuliza nini? wachumba wengi ni wagumu sana kusoma alama za nyakati, matokeo yake inakuja kuwa majuto baada ya kuoana!
 

Inaonyesha jinsi gani usivyo na uzoefu n mambo haya! U sound like a first grader! Utazoea tuuuuuu!
Mwanamke wa kuoa utamjua tu, It comes automatically!
Kwa kifupi hapo hupendwi kuna mtu anamuwaza and her heart is longing to meet this guy!!!
 

Naskia ukiwa na hapo kwenye redi mnaenda sawa kumbe hata ukiwa na gari majanga tu.
 
Kajambo kadogo kama hako unakimbilia jf. Kweli wanawake/mabinti wana akili ya kuvukia barabara tu.
 
Ndio nakusikia wewe kwamba Wanaume nao wana tabia ya kununa, huyo jamaa yako anayekununia hana kitu anakuwekea uso wa mbuzi uogope hata kumpiga mziga. Stuka.
 
una kamoyo kadogo sana
 
Naomba usigeneralize mimi nilikuwa kwenye urafiki+ uchumba miaka sita na toka tumeoana ni mwaka wa nane sasa maisha BOMBA RAHA KWA KENDA MBELE. NODA TAMU BWANA!!!!!
 
Gracious!!!!!!!!Hiyo mbona kawaida tu! lazima kuna kitu anataka umpatie.na inawezekana unaumiza kichwa kumbe jambo lenyewe ni dogo tu.
Huenda siku moja ulijisahau ukamsifia binti fulani mbele yake.
moja ya vitu utakavyokutana navyo kwenye ndoa ni attention seeking behaviour.Unaweza ukatamka jambo ukaliona dogo mwenzio akaona umemdharau.
Usikate tamaa!ukishaweka moyoni kuwa kwenye ndoa huwa kuna milima na mabonde, hata likitokea jambo unabaki kusema "Mlima huo" au "leo mteremko".
Sasa ukiogopa kuoa, haya maisha ya uchumba utaendelea nayo mpaka lini!
 
Last edited by a moderator:
Dah maisha haya mtihani sana, kama wewe unadrive na anakutesa namna hiyo sa sisi watembea kwa mguu sijui adhabu yetu itakuwa ipi.
 
Bado kanuna?
 
Labda hajaona siku zake, anasubiri muda muafaka akuambie
 
haha haha hah kumbe hii ni wiki ya minuno eeh? mie wiki ya pili jamaa kanuna na mie wala sina time ndo kwanza nala bata na wengine mwanaume hawezi ninyima furaha kwani principle yangu ni me and my hapiness first hayo mengine ni ya ziada tu
 
Unajua ni vipi sio sababu kwamba mabaya yamekukuta wewe ndio necessarily yatanukuta mim au huyu anaesoma hii reply umeona bhana..mim nilivyoona title nikajua umeshakua kwenye ndoa na vitu kama hivyo..kumbe sio point ya msingi ni kwamba sometimes mtu anahitaji kua peke ake labda amepatwa na ugonjwa sema hajakwambia we unafikir inatokea tu from no where..!!kama umeshindwa mapenzi achana nayo fanya kitu kingine..sio wote watakaopitia matatizo wengine ni heaven on earth...comprende amigos..!!
 

This is your private business. Kama huwezi achana naye. Hayatuhusu.
 
Hehehe. Yaani dingi Mtambuzi ndo alikuwa analipa ada afu mie naona kama naonewa kulipiwa ada nisome. Sasa ada najilipia, na bado vianko vyako navyo vinadai ada na skuli tripu ya south africa. Natamani kuwaambia acheni shule tuuze maandazi! I wish i was a kid seriously!
CC Mtambuzi...si ndo alilipa ada?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…