Betri hp min laptop inahitajika!

Betri hp min laptop inahitajika!

kholo

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2011
Posts
413
Reaction score
76
Jamani wanajamvi salama? Natafuta betri ya hp min laptop mwenye kuwa nayo naomba tufanye biashara. Au anaejua waliko mafundi wachakachuaji wa betri tafadhali nijulishe.
 
Daah! Siamin kama jungu kuu leo limekosa ukoko
 
Check na agent wa HP yuko opossite na jengo la ILO maeneo ya posta mpya.
Utapata kitu genuine au ukiosa apo nenda sophia house kuna duka opposite na maktaba house cheki nao
 
Check na agent wa HP yuko opossite na jengo la ILO maeneo ya posta mpya.
Utapata kitu genuine au ukiosa apo nenda sophia house kuna duka opposite na maktaba house cheki nao

ok! Thanks, ila nimesubir!?
 
offcoz hata mimi nahitaji betri za hizi hp mda mrefu nakosa yangu ni hp G60 ngoje nicheck nao hawa jamaa kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom