tinno criss Senior Member Joined Jul 3, 2015 Posts 112 Reaction score 56 Sep 26, 2016 #1 Nikweli Tunahitaji kufanya Changes, Join #Movement_Okoa_Jahazi Kutuunga Mkono, Kuna makosa mengi Yamesha Fanyika, Huu ndo wakati wa mabadiliko, lazma tukubariene na hilo wadau wote wa bongomovies Ili tuweze kuinuka hapa tulipo jikwaa,
Nikweli Tunahitaji kufanya Changes, Join #Movement_Okoa_Jahazi Kutuunga Mkono, Kuna makosa mengi Yamesha Fanyika, Huu ndo wakati wa mabadiliko, lazma tukubariene na hilo wadau wote wa bongomovies Ili tuweze kuinuka hapa tulipo jikwaa,