Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,021
- 9,177
- Thread starter
-
- #21
It's funny that Apple keyboards have the same score as Lenovo keyboards, and how on earth do they have the best score in audio... I wish people just stopped making apple like the benchmark of all tech...
Haha inachekesha upande WA software anaongoza apple na wanaomfatia point zao zinatofautiana wakati wote wanaeka windows. Au sku hizi kuna windows ya Lenovo na ya dell.
Hapo kwenye review na tech support panahitaji maelezo zaidi.
Ndugu keyboard ya IBM umeisahahu? nadhani ndipo Lenovo walipo rithi.
Hivi Kampuni gani ina Ultrabook nzuri?
Na kuna za size ya 15.6"
That keyboard is legebdary
Shida ya wazungu wanatengeneza bidhaa kwa madaraja, utaona hizi ni grade a, b, c, d, mara hizi build for africa. Ukiangalia hapa bongo dell vimeo, ila dell za u.s bana daaaaah utakataa. Mie nshawashtukia. Apple zinaonekana bora maana ndio izo izo ambazo wanatumia u.s na sisi,tunazitumia. Ila hawa wengine wanatuzingua tu
Dell kimeo ipi?
Usitegemeee kununu Inspiral ya kina mama yakufanyia Shopping akiwa jikoni ukafananisha Latitude mashine ya kazi.
Latitude is a business class laptop, competing with ThinkPad and HP Elitebook, and they are(or used to be because they have budget versions nowadays) freaking expensive, I think jamaa was referring to mainstream dell laptops that are in bongo.
I agree na mkuu juu kuwa almost all manufactures wana mid-tier/budget laptops for developing markets, something Apple don't. But if we put top of line laptops from each manufacturer I believe the Apple would have not been at the top(overall) on any rankings.
Kaka nakushushia Uzi wako peke yako kwa ajili ya hii!