!!!!! Best Wishes Husninyo!!!!!

Sindwa kusangaa na wewe Mr. Rocky!
Ina maana Judgement ni blind kiasi gani ?
Yaani nimeshindwa kuona picha na maandishi !
Realy ?

Judgement halafu hapa Vin Diesel anatuambia mke wake ni sweetlady tuu hana mpango na Husninyo
Kama asingekuwa na mpango nae imekuwaje ana taarifa za mpaka ratiba ya mitihani yake
 
Kumbe Husyn yuko fomu foo B.
Best wishes

Kongosho acha kumsumbua atashindwa kukariri civics
na ile formula ya mathematics itaondoka
na ile kitu wanaita Sulphuric Acid na Sulphate na sijui formula ya alkali na acid itaondoka namna ya kuchanganya
 
Judgement halafu hapa Vin Diesel anatuambia mke wake ni sweetlady tuu hana mpango na Husninyo
Kama asingekuwa na mpango nae imekuwaje ana taarifa za mpaka ratiba ya mitihani yake

Ndoo- hapo sasa!
 
All the best my cousin Husninyo

See? We miss u dearly and nobody has ever forgotten you

as soon as you finish up, please come back and rejoin us
 
Last edited by a moderator:
hapana bana
hata mimi nilikuwa namtafuta sana Husninyo
sasa leo nashanga auna taarifa zake
mimi ni mdau tuu sina interest zozote bana Vin Diesel

Wewe una dalili za kutaka kuvunja ndoa ya Husninyo na mumewe...isitoshe na yangu ipo shakani kutokana na ufukunyuku wako....
Ukitaka kumpata Husninyo utampata kupitia sie ndugu zake.
Currently she is on sabbatical kama ya guardiola...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…