nakumbuka enzi za GROOVE THEORY....
zilihusu nini mkuu?
wow! mambo mazuri hayo bwana bila shaka mlifurahia sana! miaka gani hiyo ilikuwa?kujirusha...one weekend a month kulikuwa na party fulani hivi ndio inaitwa groove theory.
wow! mambo mazuri hayo bwana bila shaka mlifurahia sana! miaka gani hiyo ilikuwa?
last time ilikuwa 2010 au 2011 kuhudhuria hio party
bado magoma yanaendelea mpaka miaka hii?
bado magoma yanaendelea mpaka miaka hii?
Usijali shem. Siku moja tutatoka, tena tukiwa kamili bila kudai wala kudaiwa.Lini tutaenda kupigwa upepo huko my shem?
yeah ila wamehamisha venue,last time ilikuwa safari carnivore...
Age group ya washiriki ikoje mkuu? isije kuwa ni watu aina flani pekee ndo wahitajiwa bwana!:confused2: