SamjoGeita
Member
- Apr 19, 2016
- 12
- 6
What are the best ways to serve my money?
Yes, any other?Tengeneza vibubu au chini ya godoro.
What are the best ways to serve my money?
Nashukuru sana mkuuColoured word ni Save
Njia nzuri ya kuboresha saving ni so simple, hakikisha kila unacho kipata yani ile CASH on HAND either ni umepata faida katika biashara zako, ama kama ni mwajiriwa umepokea mshahara then fanya strategy inaitwa PASU-PASU STRATEGY yani ile hela uliopokea igawe nusu fanya saving yani weka kwenye akiba nusu yake weka kwenye matumizi ya kila siku, it will help you and encourage saving... Hakuna uchawi mwingine...
How should i invest in it.. Hapo tatizo ndipo linapokuja kuanzia.Best way is to invest it
Tatizo linakuja baada yakutenga pesa for savin.. Then how should i keep it for long term plans?Coloured word ni Save
Njia nzuri ya kuboresha saving ni so simple, hakikisha kila unacho kipata yani ile CASH on HAND either ni umepata faida katika biashara zako, ama kama ni mwajiriwa umepokea mshahara then fanya strategy inaitwa PASU-PASU STRATEGY yani ile hela uliopokea igawe nusu fanya saving yani weka kwenye akiba nusu yake weka kwenye matumizi ya kila siku, it will help you and encourage saving... Hakuna uchawi mwingine...
Ahsante kwa kushukuru,Tatizo linakuja baada yakutenga pesa for savin.. Then how should i keep it for long term plans?
Bro nashukuru sana kwa kuchukua Muda wako nakuamua kunipa msaada.. Okey, Honestly nataka ku save ili nijenge.. I once again Thank u for letin me know that i can use EQUITY BANK which has no monthly charges.. Kuna mtu alinishauri akanambia nitumie CRDB ili niweze kununa hisa akidai hisa za CRDB are more profitable compared to those of other banks.. Do u have addition points to advice me?Ahsante kwa kushukuru,
Sasa kwa swali hili ni hivi,
Kuna mambo mawili ya kuzingatia moja ni usifanye saving ya MUDA MREFU SANA kwa kuwa pesa ushuka thamani kwasababu ya inflation(TIME VALUE FOR MONEY=yani thamani ya pesa ya leo hailingani na thamani ya pesa ya kesho), pili weka akiba kwa MALENGO yani hiyo pesa unayo save unataka kufanyia nini je ni ya kukuza MTAJI wa INVESTIMENT au unataka KUJENGA au unataka kununua FIXED ASSETS kama gari nk kutokana na uhitaji.
Saving ina masharti magumu sana ni wa chache wanaweza, je umejianda kupunguza matumizi ambayo ni unnecessary ili ufanye saving kama pombe, kujirusha, mademu,
Hakikisha unafikia malengo na saving unayofanya na ukaizungusha katika miradi yako ili ikulete manufaa kwa mfano kuongeze other income stream kuepuka kutegemea mkondo mmoja wa uzalishaji rasilimali fedha, huwa hatufanyi saving ili hela ikae tu kumbuka..
Chagua bank kwa pesa unayotaka kuifanyia saving, bank hapa kuna huduma za ki_bank watakukata ada ya mwezi na other bank charges, labda pesa ya akiba ninge kushauri uweke kwenye hii bank ya EQUITY BANK ambayo hawana charges kama ada za mwezi, ukiweka hela unaikuta kama ilivyo ni hayo tu.. Hakuna linaloshindikana maisha ni mipango tu..
Shukrani kwa kushukuru tenaBro nashukuru sana kwa kuchukua Muda wako nakuamua kunipa msaada.. Okey, Honestly nataka ku save ili nijenge.. I once again Thank u for letin me know that i can use EQUITY BANK which has no monthly charges.. Kuna mtu alinishauri akanambia nitumie CRDB ili niweze kununa hisa akidai hisa za CRDB are more profitable compared to those of other banks.. Do u have addition points to advice me?
Bro nashukuru sana kwani nimepata over 80%yanilichokuwa nakihitaji within short time.. May God bless u na akuongezee maarifa.. Promise u to visit DSE (browsin) kwaajili ya kupata hamasa zaidi yakuwekeza pesa.Shukrani kwa kushukuru tena
Ni sawa pia, ila kama tayari una fungu la kutosha kuanza kuweka akiba basi kanunue hisa crdb, hisa zinalipa hasa ukiwa umewekeza fungu refu maana kama shareholder utapewa gawio kutokana na uwekezaji wako wa hida, pia lazima ununue hisa kwenye taasisi inayotengeneza faida nzuri, kwa crdb wapo poa faida utaziona kwa kuweka kwenye hii taasisi ya kifedha inatengeza faida kweli au ingia DAR ES SALAAM STOCK EXCHANG(DSE) fanya feasibility study kuangalia kampuni zinazo tengeneza faida kubwa na kipande yani per share wanauzaje ili kupata shahuku kuwekeza na hata crdb utaziona taarifa zake pale, kwa hiyo utakuwa unapata faida hasa wakati wa dividend yani gawio ambapo lile gawio utakuwa nalo unaweka akiba yako..... Nayo ni kitu kizuri,
Ila Kama ndo unaanza kuweka akiba basi ni vizuri fungua account kabisa ya kutunzia pesa yako nje na ile unayotumia kwa mwajiri wako kukuingizia mshahara au ile unayo withdraw pesa kwa matumizi yako, na nilikushauri bank gani nzuri ni equity bank, ni hayo tu ndugu yangu
My pleasure mkuu......sharing is caring....Bro nashukuru sana kwani nimepata over 80% yanilichokuwa nakihitaji within short time.. May God bless u na akuongezee maarifa.. Promise u to visit DSE (browsin) kwaajili ya kupata hamasa zaidi yakuwekeza pesa.
Nashukuru sana ndugu yangu. Huwa nina tatizo kubwa sana lakuwa na uvivu wakusoma vitabu, but for this motive, nimehamasika kukitafuta kitabu nakukisoma.Hope na wengine wataona kumbe savings inawezekana ni namna ya kucheza na mipango tu hakuna namna, matajiri duniani wanapiga hela ndefu huwa wanashauri kufanya saving
Kuna kitabu kinaitwa
BUSINESS SCHOOL written by Robert kiyosaki ndani humo anafundisha mambo mengi ikiwemo saving yani financial management kwa ujumla am encouraging you either anza kusoma vitabu, kwenye vitabu kuna maarifa mengi you wont waste time for nothing but you will gain,