hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,231
- 73,038
Hahaha
Badala ufundishe watu njia za kutafuta hela na kufanya kazi kwa juhudi, unafundisha jinsi ya kufanya mapenzi.
Ni vyema elimu hii ungewafundisha watoto wako kama unao, na kama hauna subiri ukishawapata uwafundishe. Itawasaidia maishani.