Best video editing Program

Best video editing Program

adobe premier pro hii ni nzuri na itakufaa
pia pinnacle studio ina mahitaji yako yote uliyiyataja na ni nzuri na rahisi kwa beginner
ushauri wangu tumia pinnacle studio ikiwa wewe ni beginner,ukiielewa vizuri nenda kwenye adobe...
mi naitaji ngoma nilizonazo kwa video ziwe kwa audio msaada tafadhali
 
mi naitaji ngoma nilizonazo kwa video ziwe kwa audio msaada tafadhali
hapo unahitaji video converter tu,,
kwa pc unaweza download software ya format factory,au any video converter au unaweza tumia vlc ku convert hizo video kwenda mp3...
 
hapo unahitaji video converter tu,,
kwa pc unaweza download software ya format factory,au any video converter au unaweza tumia vlc ku convert hizo video kwenda mp3...
ni kwa cm mkuu
 
images (4).jpeg

Mkuu vipi ulifanikiwa? Karibu tupige mzigo
 
Wakuu asante sana kwa uzi huu mzuri. Hata hivyo, nimejaribu links zote zilizotolewa hapo juu zinanitaka nilipie nami sina hela. Naomba mwenye link za bure kabisa anisaidie maana mm sifanyi editing kwa iashara ila ni kwa matumizi binafsi. Asante.
 
Sony vegas pro 12 inakufaa
Pia kama unhitaji pc ambayo ina hayo mazaga yote ya video pro,audio production na software zingine nichek ukiwa na laki 3 tu nikuuzie yangu.ila ni desktop sio laptop
 
Wakuu asante sana kwa uzi huu mzuri. Hata hivyo, nimejaribu links zote zilizotolewa hapo juu zinanitaka nilipie nami sina hela. Naomba mwenye link za bure kabisa anisaidie maana mm sifanyi editing kwa iashara ila ni kwa matumizi binafsi. Asante.
Google "kdenlive" (i recommend this) au "openshot" au "davinci resolve" (hii ni levo za akina after effect au premiere pro sema yenyewe ina toleo ambalo linatolewa for free).
 
Google "kdenlive" (i recommend this) au "openshot" au "davinci resolve" (hii ni levo za akina after effect au premiere pro sema yenyewe ina toleo ambalo linatolewa for free).
Asante mkuu ngoja nijaribu tena ila nilijaribu jana wakaniambia lazima nilipie na kama wakikupa trial wanaipunguzia uwezo wa kufanya kazi. Ukijoin video mbili tu za dakika 5 unaambiwa zimetosha wakati mimi nataka nijoin video nyingi zenye uwezo wa kupiga kwa masaa 4 mfululizo. Ngoja nijaribu tena mkuu.
 
Back
Top Bottom