imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,464
- Thread starter
- #41
Marehemu Gloria Mzirai alikuwa ni Mzalendo Mwenye kipaji kwa kumsikiliza tu alikuwa anasisitiza wananchi wajaribu ufugaji wa nyuki na faida zake kwa Kiswahili fasaha kabisa kuliko wanasiasa wengi tulionao daaah!!!!..hii awamu Ina laana.