Umeona eh! Raha jipe mwenyewe.
Woooyyoooo✌✌niwekee na ule kitoto kaanza tambaa😄😋😋
Acha fujo kijana kumbe ndio ulikuwa unaelekea huku!!?View attachment 1033306
Zama za Stress for nothing
Mzee punguza hasira je kama Ndio ingekuwa enzi ya Iddi amini Kuvamia Chato?!..si Ungemuomba raisi wa Kuwait Bomu la Nuclear.
SaaaanaaaaHahahahaha mpenzi mkubwa wa King Kiki
Sio kweli. Tunaimani nae, na mwakani nitampa kura yangu, ya mke wangu, na nitahakikisha narudi kijijini kwetu kumtafutia nyingine 1000Washamba ndivyo walivyo Mkuu. Pamoja na kujifanya ana hasira sana, chuki, visasi na vitisho vya kufa mtu madudu kila kona. Watanzania wengi wamekata tamaa kwa huyu.
Kifo chake kilinihuzunisha sana,na jinsi kilivyompata daah,.nilijua kuwaza siku ile huku nikiiangalia mara kwa mara ile video clip..REST IN PEACE GLORIA MZIRAI
Cheeenkyuu😉Enjoy 😎😎
Wozaaaah😉😉
Kula Bata ni Muhimu hapa kazi tu hata kwa mijeledi strsss Binadamu tunatakiwa kupumzika kufurahi kunaongeza maisha
Sio kweli. Tunaimani nae, na mwakani nitampa kura yangu, ya mke wangu, na nitahakikisha narudi kijijini kwetu kumtafutia nyingine 1000
Angalia Unajua ile haikuwa Stroke marehemu alikuwa na Msongo mkubwa ambao pia unasababishwa na long working hours bado nyumbani kuna mambo ya kifamilia hofu ya kufukuzwa kazi papo kwa hapoKifo chake kilinihuzunisha sana,na jinsi kilivyompata daah,.nilijua kuwaza siku ile huku nikiiangalia mara kwa mara ile video clip..
Ndio stress ama???