MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 20,897
- 63,784
Imetumika kwenye filamu gani ya Disney ?Rumble in the jungle-Miriam Makeba
Moana ni hatari sana. Filamu nyingi za kisasa za Disney kama Frozen na Zootopia zina nyimbo nzuri japo binafsi nazipenda zile za miaka ya 80's na 90's sasa sijui ni Nostalgia yangu au hizi za sasa zimekosa ubunifu kama ule wa zamani.You're ain't never had friend like me....!!
Napenda nyimbo zilizotumika kwenye Moana!
Very sweet songs
Madagascar ni balaa japo nadhani ni Animation ya DreamWorks siyo Disney. Kuna ngoma hii hapa:
Disney huwa anatumia Legends kama Elton John, Lebo M na Louis Prima na wengine kuimba na kuandika nyimbo.Disney wananyimbo nzuri na zenye maundhui mazuri nyingi tu
That's what we call Social Engineering:cartoon zao siku hizi zinawajenga watoto kwenye ushoga na rainbow flags nyiiingi
Saaana mkuu, napendaga sana animated movies ila contents zina agenda nyingi za mafumbo zenye NIA OVU sana ndani yakeThat's what we call Social Engineering:
It's a malign agenda aimed at controlling how our children will think . Sasa kama mzazi haupo makini unaweza kukuta watoto wamekaa siku nzima na Disney Channel wanaangalia vitu vya ajabu.
Kuna baadhi inabidi tu upige marufuku.Saaana mkuu, napendaga sana animated movies ila contents zina agenda nyingi za mafumbo zenye NIA OVU sana ndani yake
Kweli mie nimedownload cartooni ndio wanazoangalia zio za TV maana wataangalia hata kama sipo karibuKuna baadhi inabidi tu upige marufuku.