Bila kufikiri kwa makini na kwa kina, baadhi ya watu watafikiri watalii wanakuja tu wengi kwa sababu ya kuwa nchi ya kwanza. Mzungu anasave pesa miaka 2 au zaidi ili kusafiri, Pesa wazungu wanawekewa mfukoni ili wasafiri?
Tanzania kuna vivutio vingi vizuri....uliza kwa nini Watanzania hawawezi kutembelea mbuga zao za wanyama...Hawataki? Kuna hapendi starehe?
Gharama za kusafiri, pesa inatakiwa....
Wazungu wanaangalia pia gharama za usafiri, will go to cheap destination because they can save....
Zambia is cheap and second beauty
Kenya is there...
Tanzania wake up, open your mind
Watanzania tunabweteka kwa kuitwa wa Kwanza...
Wakenya wameshaanza cheche.....Take action
Make destination affordable,,,flight tickets KIA expensive 2 times of JKIA
VAT
Concession fee
VISA
Hawa ndiyo maadui wa Tanzania na crocodile tears, waliobahatika kuchukua monopoly ya biashara ya utalii, ni wale wale waliotuibia dhahabu za makanikia wakisema Tanzania haina vivutio vya madini.
Tanzania more expensive than Kenya? Rubbish! Kwani hiyo bei anapanga nani? Yes, ni hoteli hiyo hiyo iko Kenya na Tanzania, anapandisha bei ya hoteli Serengeti anajua watalii watakuja, anapunguza za hoteli hiyo hiyo Kenya kwa sababu hakuna kitu. Talinganisha bei ya dhahabu na ya shaba? Bei ya trip hotelini ni $15,000 all-inclusive kwa siku 4, concession ya $25 kwa siku itamuumiza nani?
Na hizo $15000 zinapita huko kwa huko zibawekwa Canada huku wanakuja na vidollar vichache wanalangua bureau de change (zao) zitoshe tu kununua shanga za Wamasai.
Wezi wakubwa! Msiwasikilize! Ni hawa hawa brochure zao za Kenya zinasema mlima Kilimanjaro uko Kenya. VAT huu ni mwaka wa tatu walisema watalii wataisha wataenda Kenya, mbona bado twawala?
Walishitaki Kortini bei haijapanda miaka 10, hii ya ughali wetu itoke wapi? Inflation ya Kenya 9% ya kwetu 6%, bado tu ni aghali?
Wezi wakubwa! Wameiba madini yetu Magu kawashtukia sasa wanataka waendelee kutuibia utalii.
Maghembe amesema hataki watalii maskini.. watalii maskini wanajazana tu kwenye parks zetu na ku-disturb ecosystem za mbuga. Wapo watalii maskini kibao huko Masai Mara. Waende huko.. Tanzania ina hadhi ya kuhost masuper star na sio watu watakaokuja kujazana kwenye mbuga zetu na kuzitrash.
Ndio maana earnings za utalii wa Tanzania zinakua kwa kuwa tunavutia watalii wenye class.. ni bora kumpata mtalii tajiri mmoja atakaye spend $10000 kuliko watalii maskini 10 watakaospend $ 500.
Na hilo ndio lengo la utalii wa Tanzania, sio kuvutia watu wengi sana, bali watu wachache watakaoweza kuafford mbuga zenye hadhi ambazo hazipatikani mahali popote duniani.
waTanzania hawaendi kwenye mbuga sio kwa sababu hawana hela wengi hawana information kuhusu nini cha kufanya.. so usisingizie kuwa watu hawana hela while TANAPA ina rate ndogo sana kwa waTanzania.
Rafiiki hoja zako hazina weight kabisa naona ziinaelea hewani tu!Hawa ndiyo maadui wa Tanzania na crocodile tears, waliobahatika kuchukua monopoly ya biashara ya utalii, ni wale wale waliotuibia dhahabu za makanikia wakisema Tanzania haina vivutio vya madini.
Tanzania more expensive than Kenya? Rubbish! Kwani hiyo bei anapanga nani? Yes, ni hoteli hiyo hiyo iko Kenya na Tanzania, anapandisha bei ya hoteli Serengeti anajua watalii watakuja, anapunguza za hoteli hiyo hiyo Kenya kwa sababu hakuna kitu. Talinganisha bei ya dhahabu na ya shaba? Bei ya trip hotelini ni $15,000 all-inclusive kwa siku 4, concession ya $25 kwa siku itamuumiza nani?
Na hizo $15000 zinapita huko kwa huko zibawekwa Canada huku wanakuja na vidollar vichache wanalangua bureau de change (zao) zitoshe tu kununua shanga za Wamasai.
Wezi wakubwa! Msiwasikilize! Ni hawa hawa brochure zao za Kenya zinasema mlima Kilimanjaro uko Kenya. VAT huu ni mwaka wa tatu walisema watalii wataisha wataenda Kenya, mbona bado twawala?
Walishitaki Kortini bei haijapanda miaka 10, hii ya ughali wetu itoke wapi? Inflation ya Kenya 9% ya kwetu 6%, bado tu ni aghali?
Wezi wakubwa! Wameiba madini yetu Magu kawashtukia sasa wanataka waendelee kutuibia utalii.
Wakenya mnatutaka nini?
We are not talking about Kenya being ahead in "everything" you twit, we are talking about utalii. The thieves, so-called "wawekezaji" don't want us to benefit from our natural gifts which even you agree that are unmatched in Kenya. Each time we wish to charge fair taxes and fair fees they come yelling that the tourists will go to Kenya. But they don't go to Kenya, hakuna kitu huko,, kila kukicha wanaongezeka hapa. Wewe mpigadebe wao unawatetea ill tuendelee kuliwa. Hata Rais kasema ukiona koroboi inawaka ujue kuna mafuta yaani rushwa ya wawekezaji mnajitia civil society au human rights jumble wezi wakubwa. Jana ilikuwa makanekia, leo ni utalii. Wezi wakubwa nyie. Hiyo ya exchange rate hujui usemalo rudi shule (kama ulishaenda). Linganisha EURO na SWISS FRANC halafu njoo tukufunze.Rafiiki hoja zako hazina weight kabisa naona ziinaelea hewani tu!
The truth is, Kenyans are best in each and everything among the EA countries!!!
Kenya ndo nchi yenyeb uchumi imara na bora zaidi kuliko nchi yoyote EA pamoja na ulkweli kwambaa hainaa raslimalii nyiingi kama Tanzo! Wakenya wanaajitambua wao nnani, watoka waapi na wanakwenda waapi!
Watz kazi ni umbeya,pigadomo na visingizio vya kipuuzi puuzi tu..Jiiulize kwaninii Kenya iimewaamiisha Wazungu kuwa Mlima Killiimanjaro uko Kenys na siiyo Tanzaania?
Je,Wabongo mwaashhiindwa niini kuji-advert kama Kenyans??
Mbuga kubwa za Wanyama ziiko kwetu lakn Wataliii laziima waiingie Kenya kwanzza ndiipo waje Tanzo!!!
Tanzaniite iko Merrerani dunia nzima lakiini Kenya inaonyesha kusaafiriisha Tanzaniite kwa wingii kulliiko Tz!!Jiullze!
Kshs iiko stable against US Dolllar waktii wote iillhalli Tshs kiila siiku inaporomoka against the USD!
Wewe MPadmire ni juha au ni Mwizi wa akili. Why don't you want us to benefit from our natural resources? If you love Kenya so much why don't you go there? Na ni nani kakwambia revenue earning ya Kenya ni kubwa kuliko anzania? Do you know how they count? No? Yeyote anayelala hotelini Kenya anaitwa mtalii classification; yeyote anayeenda pwani Malindi au Mombasa ni mtalii.Baada ya kusoma comment yako, ni wazi kuwa wewe ni mbu mbu mbu na haya sio mawazo yako...
Umekaririshwa kuwa tunaibiwa madini...Waliosaini mikataba ya wizi ndio wamekuja kukuambia kuwa TUTALIPWA trillioni 108....!
Je elimu yako ni darasa la ngapi, au form ngapi>....chuo kikuu hujakanyaga wewe....Maana umeandika rubbish
Hujui lolote kuhusu tourism, umedakia mada kwa mihemko tu
Concession ni 25 $? Wewe hujui lolote kuhusu utalii...Huo ni ushahidi maana hujui concession ni Dollar ngapi...
Comment yako imejaa upotoshaji na hujui lolote kuhusu utalii...Mfano ni makosa haya hayo chini...
Sasa Kama Kenya hakuna kitu, hao professional safari booking wamewapa nafasi ya 4? huna akili wewe
Tanzania ina vivutio vingi na vikubwa kuliko Kenya example Serengeti is about 4 times large than Masai Mara
Kenya hakuna Ngorongoro wala Kilimanjaro, pia usalama Kenya ni wa mashaka
Pamoja na hayo yote kwa nini Tanzania ilingane na Kenya kwa idadi ya utaliii?
Kwa nini Revenue earning ya Kenya izidi ya Tanzania?
Kwa nini budget ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania?
Maghembe amekuaminisha hataki mtalii masikini..wewe umekaririka na umekuja kutapika huku
Taarifa: Hakuna mtalii masikini
Masikini ni nyie watanzania msio weza hata mlo mmoja
Watalii wote wanalipa park entry fee sawa bila kujali kipato Example Usher Raymond analipa park fee ya Serengeti sawa na mtalii wa kawaida
Serena Lodge bei ya room ni sawa kwa mtalii tajiri au wa kawaida
Ngorongoro Crater Lodge au Singita Lodge bei ya room ni sawa kwa yeyote (1500 $) per person per night
Hakuna mtalii masikini wala fukara
Mtu akishakuwa ameweza kulipa ticket ya ndege kutoka ulaya au marekani mpaka Africa, unaanzaje kumwita masikini?
Hii hoja ya kilimanjaro ipo Kenya mnakua kama mnajiaibisha hivi kwa dunia ya leo unaweza ukamdanganya mtu kishamba hivi? Kwa akili yako mtalii akiambiwa kilimanjaro ipo Kenya basi moja kwa moja anapanda ndege anaelekea Kenya?Rafiiki hoja zako hazina weight kabisa naona ziinaelea hewani tu!