Best safari country, Kenya wanatake advantage

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,224
Watanzania tunashangilia Tanzania kuwa best Safari country in Africa bila kufikiria namna ya kuongeza watalii

Tanzania ranked 1st safari country kwa kigezo cha best spotting wildlife - MOST EXPENSIVE

Kumbuka Zambia named best Bush Safari country and 2nd Ranked---most affordable

Kenya wapo Namba 3 and affordable

Sasa Wakenya wametake advantage: Soma walichoandika

"According to the SafariBookings’ 2017 survey of top eight safari countries in Africa, Kenya's neighbour Tanzania was voted the best in the continent"

Source:Dutch site ranks Kenya fourth-best safari country
 
Bila kufikiri kwa makini na kwa kina, baadhi ya watu watafikiri watalii wanakuja tu wengi kwa sababu ya kuwa nchi ya kwanza. Mzungu anasave pesa miaka 2 au zaidi ili kusafiri, Pesa wazungu wanawekewa mfukoni ili wasafiri?

Tanzania kuna vivutio vingi vizuri....uliza kwa nini Watanzania hawawezi kutembelea mbuga zao za wanyama...Hawataki? Kuna hapendi starehe?

Gharama za kusafiri, pesa inatakiwa....

Wazungu wanaangalia pia gharama za usafiri, will go to cheap destination because they can save....

Zambia is cheap and second beauty

Kenya is there...

Tanzania wake up, open your mind

Watanzania tunabweteka kwa kuitwa wa Kwanza...

Wakenya wameshaanza cheche.....Take action

Make destination affordable,,,flight tickets KIA expensive 2 times of JKIA

VAT

Concession fee

VISA
 
Hawa ndiyo maadui wa Tanzania na crocodile tears, waliobahatika kuchukua monopoly ya biashara ya utalii, ni wale wale waliotuibia dhahabu za makanikia wakisema Tanzania haina vivutio vya madini.

Tanzania more expensive than Kenya? Rubbish! Kwani hiyo bei anapanga nani? Yes, ni hoteli hiyo hiyo iko Kenya na Tanzania, anapandisha bei ya hoteli Serengeti anajua watalii watakuja, anapunguza za hoteli hiyo hiyo Kenya kwa sababu hakuna kitu. Talinganisha bei ya dhahabu na ya shaba? Bei ya trip hotelini ni $15,000 all-inclusive kwa siku 4, concession ya $25 kwa siku itamuumiza nani?

Na hizo $15000 zinapita huko kwa huko zibawekwa Canada huku wanakuja na vidollar vichache wanalangua bureau de change (zao) zitoshe tu kununua shanga za Wamasai.

Wezi wakubwa! Msiwasikilize! Ni hawa hawa brochure zao za Kenya zinasema mlima Kilimanjaro uko Kenya. VAT huu ni mwaka wa tatu walisema watalii wataisha wataenda Kenya, mbona bado twawala?

Walishitaki Kortini bei haijapanda miaka 10, hii ya ughali wetu itoke wapi? Inflation ya Kenya 9% ya kwetu 6%, bado tu ni aghali?

Wezi wakubwa! Wameiba madini yetu Magu kawashtukia sasa wanataka waendelee kutuibia utalii.
 
Maghembe amesema hataki watalii maskini.. watalii maskini wanajazana tu kwenye parks zetu na ku-disturb ecosystem za mbuga. Wapo watalii maskini kibao huko Masai Mara. Waende huko.. Tanzania ina hadhi ya kuhost masuper star na sio watu watakaokuja kujazana kwenye mbuga zetu na kuzitrash.

Ndio maana earnings za utalii wa Tanzania zinakua kwa kuwa tunavutia watalii wenye class.. ni bora kumpata mtalii tajiri mmoja atakaye spend $10000 kuliko watalii maskini 10 watakaospend $ 500.

Na hilo ndio lengo la utalii wa Tanzania, sio kuvutia watu wengi sana, bali watu wachache watakaoweza kuafford mbuga zenye hadhi ambazo hazipatikani mahali popote duniani.

waTanzania hawaendi kwenye mbuga sio kwa sababu hawana hela wengi hawana information kuhusu nini cha kufanya.. so usisingizie kuwa watu hawana hela while TANAPA ina rate ndogo sana kwa waTanzania.
 
Baada ya kusoma comment yako, ni wazi kuwa wewe ni mbu mbu mbu na haya sio mawazo yako...

Umekaririshwa kuwa tunaibiwa madini...Waliosaini mikataba ya wizi ndio wamekuja kukuambia kuwa TUTALIPWA trillioni 108....!

Je elimu yako ni darasa la ngapi, au form ngapi>....chuo kikuu hujakanyaga wewe....Maana umeandika rubbish

Hujui lolote kuhusu tourism, umedakia mada kwa mihemko tu

Concession ni 25 $? Wewe hujui lolote kuhusu utalii...Huo ni ushahidi maana hujui concession ni Dollar ngapi...

Comment yako imejaa upotoshaji na hujui lolote kuhusu utalii...Mfano ni makosa haya hayo chini...

Sasa Kama Kenya hakuna kitu, hao professional safari booking wamewapa nafasi ya 4? huna akili wewe

Tanzania ina vivutio vingi na vikubwa kuliko Kenya example Serengeti is about 4 times large than Masai Mara

Kenya hakuna Ngorongoro wala Kilimanjaro, pia usalama Kenya ni wa mashaka

Pamoja na hayo yote kwa nini Tanzania ilingane na Kenya kwa idadi ya utaliii?

Kwa nini Revenue earning ya Kenya izidi ya Tanzania?

Kwa nini budget ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania?

Maghembe amekuaminisha hataki mtalii masikini..wewe umekaririka na umekuja kutapika huku

Taarifa: Hakuna mtalii masikini

Masikini ni nyie watanzania msio weza hata mlo mmoja

Watalii wote wanalipa park entry fee sawa bila kujali kipato Example Usher Raymond analipa park fee ya Serengeti sawa na mtalii wa kawaida

Serena Lodge bei ya room ni sawa kwa mtalii tajiri au wa kawaida

Ngorongoro Crater Lodge au Singita Lodge bei ya room ni sawa kwa yeyote (1500 $) per person per night

Hakuna mtalii masikini wala fukara

Mtu akishakuwa ameweza kulipa ticket ya ndege kutoka ulaya au marekani mpaka Africa, unaanzaje kumwita masikini?
 
capacity ya Serengeti ni kubwa mara nne zaidi ya Masai Mara, hivyo inatakiwa Serengeti ipokee watalii wengi zaidi

Hujui Tourism wala conservation

Hakuna mtalii masikini....Mtu ameweza kubook ticket USA mpaka Tz unamwita masikini?

Masikini ni nyie mnao comment kwa mhemko....umeonyesha ujinga wako

Park entry fee ni sawa kwa watu maarufu na wa kawaida....Sasa unasemaje mtu tajiri analipa zaidi serikali?

Je elimu yako ni darasa la ngapi, au form ngapi>....chuo kikuu hujakanyaga wewe....Maana umeandika rubbish

Hujui lolote kuhusu tourism, umedakia mada kwa mihemko tu

Concession ni 25 $? Wewe hujui lolote kuhusu utalii...Huo ni ushahidi maana hujui concession ni Dollar ngapi...

Comment yako imejaa upotoshaji na hujui lolote kuhusu utalii...Mfano ni makosa haya hayo chini...

Sasa Kama Kenya hakuna kitu, hao professional safari booking wamewapa nafasi ya 4? huna akili wewe

Tanzania ina vivutio vingi na vikubwa kuliko Kenya example Serengeti is about 4 times large than Masai Mara

Kenya hakuna Ngorongoro wala Kilimanjaro, pia usalama Kenya ni wa mashaka

Pamoja na hayo yote kwa nini Tanzania ilingane na Kenya kwa idadi ya utaliii?

Kwa nini Revenue earning ya Kenya izidi ya Tanzania?

Kwa nini budget ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania?

Maghembe amekuaminisha hataki mtalii masikini..wewe umekaririka na umekuja kutapika huku

Taarifa: Hakuna mtalii masikini

Masikini ni nyie watanzania msio weza hata mlo mmoja

Watalii wote wanalipa park entry fee sawa bila kujali kipato Example Usher Raymond analipa park fee ya Serengeti sawa na mtalii wa kawaida

Serena Lodge bei ya room ni sawa kwa mtalii tajiri au wa kawaida

Ngorongoro Crater Lodge au Singita Lodge bei ya room ni sawa kwa yeyote (1500 $) per person per night

Hakuna mtalii masikini wala fukara

Mtu akishakuwa ameweza kulipa ticket ya ndege kutoka ulaya au marekani mpaka Africa, unaanzaje kumwita masikini?
 
Katika Mashindano kupata nchi ipi bora...Zambia ndio mshindani wa karibu wa Tanzania.

Soma msitari kwa msitari....Sio mijitu inasoma title tu na kukimbilia kushangilia kama Makinikia

Tanzania is rated the best safari country of 2017
Tanzania with its teeming wildlife and astounding natural beauty on average had the highest scores. The country won only by a slim margin though from Zambia. Interestingly, when the results are broken down, members of the expert panel rated Tanzania the highest while safari tourists had a preference for Zambia.

Kwa maana hiyo, Tanzania have to work hard to make sure conducive tourism business is available so that we can compete well with Zambia, achilia mbali Kenya.
 
Kwa wale wanaojua kusoma kiingereza na kuanallyse mambo, sitaki Nzi Mihemko hapa

Katika Mashindano kupata nchi ipi bora...Zambia ndio mshindani wa karibu wa Tanzania.

Soma msitari kwa msitari....Sio mijitu inasoma title tu na kukimbilia kushangilia kama Makinikia

Source, Safari booking Website Dutch

Tanzania is rated the best safari country of 2017
Tanzania with its teeming wildlife and astounding natural beauty on average had the highest scores. The country won only by a slim margin though from Zambia. Interestingly, when the results are broken down, members of the expert panel rated Tanzania the highest while safari tourists had a preference for Zambia.

Kwa maana hiyo, Tanzania have to work hard to make sure conducive tourism business is available so that we can compete well with Zambia, achilia mbali Kenya.
 
Kumbu kumbu sahihi

Mwaka 2013, Tanzania ilishinda tena kuwa nchi bora kwa safari Africa

Je watalii waliongezeka mara dufu kuliko mwaka 2011/12?

Je tuliwashinda Kenya kwa idadi kubwa sana ya watalii 2013/14?
 
Hawa ndiyo maadui wa Tanzania na crocodile tears, waliobahatika kuchukua monopoly ya biashara ya utalii, ni wale wale waliotuibia dhahabu za makanikia wakisema Tanzania haina vivutio vya madini.

Tanzania more expensive than Kenya? Rubbish! Kwani hiyo bei anapanga nani? Yes, ni hoteli hiyo hiyo iko Kenya na Tanzania, anapandisha bei ya hoteli Serengeti anajua watalii watakuja, anapunguza za hoteli hiyo hiyo Kenya kwa sababu hakuna kitu. Talinganisha bei ya dhahabu na ya shaba? Bei ya trip hotelini ni $15,000 all-inclusive kwa siku 4, concession ya $25 kwa siku itamuumiza nani?

Na hizo $15000 zinapita huko kwa huko zibawekwa Canada huku wanakuja na vidollar vichache wanalangua bureau de change (zao) zitoshe tu kununua shanga za Wamasai.

Wezi wakubwa! Msiwasikilize! Ni hawa hawa brochure zao za Kenya zinasema mlima Kilimanjaro uko Kenya. VAT huu ni mwaka wa tatu walisema watalii wataisha wataenda Kenya, mbona bado twawala?

Walishitaki Kortini bei haijapanda miaka 10, hii ya ughali wetu itoke wapi? Inflation ya Kenya 9% ya kwetu 6%, bado tu ni aghali?

Wezi wakubwa! Wameiba madini yetu Magu kawashtukia sasa wanataka waendelee kutuibia utalii.
Rafiiki hoja zako hazina weight kabisa naona ziinaelea hewani tu!
The truth is, Kenyans are best in each and everything among the EA countries!!!
Kenya ndo nchi yenyeb uchumi imara na bora zaidi kuliko nchi yoyote EA pamoja na ulkweli kwambaa hainaa raslimalii nyiingi kama Tanzo! Wakenya wanaajitambua wao nnani, watoka waapi na wanakwenda waapi!
Watz kazi ni umbeya,pigadomo na visingizio vya kipuuzi puuzi tu..Jiiulize kwaninii Kenya iimewaamiisha Wazungu kuwa Mlima Killiimanjaro uko Kenys na siiyo Tanzaania?
Je,Wabongo mwaashhiindwa niini kuji-advert kama Kenyans??
Mbuga kubwa za Wanyama ziiko kwetu lakn Wataliii laziima waiingie Kenya kwanzza ndiipo waje Tanzo!!!

Tanzaniite iko Merrerani dunia nzima lakiini Kenya inaonyesha kusaafiriisha Tanzaniite kwa wingii kulliiko Tz!!Jiullze!
Kshs iiko stable against US Dolllar waktii wote iillhalli Tshs kiila siiku inaporomoka against the USD!
 
Mzalendo2015 Hujakosea...Kenya wako Mbele yetu kimaendeleo na kielimu

Tatizo kuna watu wanabeza eti tusilinganishe Kenya kuwa mbele...

Sasa hapo nimeacha kulinganisha Kenya...sasa nimetumia reference ingine

Zambia ni mshindani mwingine ambae Watanzania tunapiga mdomo na tumemsahau Kazi
 
Mfano, Mahoteli na Tour Operators wanalipa Tourism Development Levy (Ushuru wa kutangaza utalii) badala yake, Serikali inachukua hizi pesa na kufanya matumizi mengine

Ya Kagera na Arusha hayatokea kwa bahati mbaya....ni tabia mbaya mlio nayo
 
Rafiiki hoja zako hazina weight kabisa naona ziinaelea hewani tu!
The truth is, Kenyans are best in each and everything among the EA countries!!!
Kenya ndo nchi yenyeb uchumi imara na bora zaidi kuliko nchi yoyote EA pamoja na ulkweli kwambaa hainaa raslimalii nyiingi kama Tanzo! Wakenya wanaajitambua wao nnani, watoka waapi na wanakwenda waapi!
Watz kazi ni umbeya,pigadomo na visingizio vya kipuuzi puuzi tu..Jiiulize kwaninii Kenya iimewaamiisha Wazungu kuwa Mlima Killiimanjaro uko Kenys na siiyo Tanzaania?
Je,Wabongo mwaashhiindwa niini kuji-advert kama Kenyans??
Mbuga kubwa za Wanyama ziiko kwetu lakn Wataliii laziima waiingie Kenya kwanzza ndiipo waje Tanzo!!!

Tanzaniite iko Merrerani dunia nzima lakiini Kenya inaonyesha kusaafiriisha Tanzaniite kwa wingii kulliiko Tz!!Jiullze!
Kshs iiko stable against US Dolllar waktii wote iillhalli Tshs kiila siiku inaporomoka against the USD!
We are not talking about Kenya being ahead in "everything" you twit, we are talking about utalii. The thieves, so-called "wawekezaji" don't want us to benefit from our natural gifts which even you agree that are unmatched in Kenya. Each time we wish to charge fair taxes and fair fees they come yelling that the tourists will go to Kenya. But they don't go to Kenya, hakuna kitu huko,, kila kukicha wanaongezeka hapa. Wewe mpigadebe wao unawatetea ill tuendelee kuliwa. Hata Rais kasema ukiona koroboi inawaka ujue kuna mafuta yaani rushwa ya wawekezaji mnajitia civil society au human rights jumble wezi wakubwa. Jana ilikuwa makanekia, leo ni utalii. Wezi wakubwa nyie. Hiyo ya exchange rate hujui usemalo rudi shule (kama ulishaenda). Linganisha EURO na SWISS FRANC halafu njoo tukufunze.
 
Baada ya kusoma comment yako, ni wazi kuwa wewe ni mbu mbu mbu na haya sio mawazo yako...

Umekaririshwa kuwa tunaibiwa madini...Waliosaini mikataba ya wizi ndio wamekuja kukuambia kuwa TUTALIPWA trillioni 108....!

Je elimu yako ni darasa la ngapi, au form ngapi>....chuo kikuu hujakanyaga wewe....Maana umeandika rubbish

Hujui lolote kuhusu tourism, umedakia mada kwa mihemko tu

Concession ni 25 $? Wewe hujui lolote kuhusu utalii...Huo ni ushahidi maana hujui concession ni Dollar ngapi...

Comment yako imejaa upotoshaji na hujui lolote kuhusu utalii...Mfano ni makosa haya hayo chini...

Sasa Kama Kenya hakuna kitu, hao professional safari booking wamewapa nafasi ya 4? huna akili wewe

Tanzania ina vivutio vingi na vikubwa kuliko Kenya example Serengeti is about 4 times large than Masai Mara

Kenya hakuna Ngorongoro wala Kilimanjaro, pia usalama Kenya ni wa mashaka

Pamoja na hayo yote kwa nini Tanzania ilingane na Kenya kwa idadi ya utaliii?

Kwa nini Revenue earning ya Kenya izidi ya Tanzania?

Kwa nini budget ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania?

Maghembe amekuaminisha hataki mtalii masikini..wewe umekaririka na umekuja kutapika huku

Taarifa: Hakuna mtalii masikini

Masikini ni nyie watanzania msio weza hata mlo mmoja

Watalii wote wanalipa park entry fee sawa bila kujali kipato Example Usher Raymond analipa park fee ya Serengeti sawa na mtalii wa kawaida

Serena Lodge bei ya room ni sawa kwa mtalii tajiri au wa kawaida

Ngorongoro Crater Lodge au Singita Lodge bei ya room ni sawa kwa yeyote (1500 $) per person per night

Hakuna mtalii masikini wala fukara

Mtu akishakuwa ameweza kulipa ticket ya ndege kutoka ulaya au marekani mpaka Africa, unaanzaje kumwita masikini?
Wewe MPadmire ni juha au ni Mwizi wa akili. Why don't you want us to benefit from our natural resources? If you love Kenya so much why don't you go there? Na ni nani kakwambia revenue earning ya Kenya ni kubwa kuliko anzania? Do you know how they count? No? Yeyote anayelala hotelini Kenya anaitwa mtalii classification; yeyote anayeenda pwani Malindi au Mombasa ni mtalii.
 
Acheni ulimbukeni mnahofu vitu vya ajabuajabu sana kwenye mapato ya utalii tunawapita wakenya kwa zaidi ya 2.7 billion dollars, Magufuli ananunua ndege nyinyi ndio wapingaji wa kubwa, Kenya kinachoibeba ni airline yao tu.
 
Rafiiki hoja zako hazina weight kabisa naona ziinaelea hewani tu!
The truth is, Kenyans are best in each and everything among the EA countries!!!
Kenya ndo nchi yenyeb uchumi imara na bora zaidi kuliko nchi yoyote EA pamoja na ulkweli kwambaa hainaa raslimalii nyiingi kama Tanzo! Wakenya wanaajitambua wao nnani, watoka waapi na wanakwenda waapi!
Watz kazi ni umbeya,pigadomo na visingizio vya kipuuzi puuzi tu..Jiiulize kwaninii Kenya iimewaamiisha Wazungu kuwa Mlima Killiimanjaro uko Kenys na siiyo Tanzaania?
Je,Wabongo mwaashhiindwa niini kuji-advert kama Kenyans??
Mbuga kubwa za Wanyama ziiko kwetu lakn Wataliii laziima waiingie Kenya kwanzza ndiipo waje Tanzo!!!

Tanzaniite iko Merrerani dunia nzima lakiini Kenya inaonyesha kusaafiriisha Tanzaniite kwa wingii kulliiko Tz!!Jiullze!
Kshs iiko stable against US Dolllar waktii wote iillhalli Tshs kiila siiku inaporomoka against the USD!
Hii hoja ya kilimanjaro ipo Kenya mnakua kama mnajiaibisha hivi kwa dunia ya leo unaweza ukamdanganya mtu kishamba hivi? Kwa akili yako mtalii akiambiwa kilimanjaro ipo Kenya basi moja kwa moja anapanda ndege anaelekea Kenya?
 
Tanzania imejaliwa vivutio vya kipekee na vizuri
Tanzania inastahili kupata watalii wengi kuliko nchi zote za Africa mashariki, Tanzania inatakiwa iwapite Uganda, Rwanda na Kenya kwa 50%. Bahati mbaya sana tunawapita kidogo sana au tuko nao sambamba.

TZ utalii umekuwa kwa % ndogo sana

Bila aibu tunashangilia kenya kukosa watalii kwa sababu ya uchaguzi au alshabab

VAT ilileta misuko suko sana kwenye Biashara ya utalii.

Serikali iliona ndio njia rahisi kukusanya mapato bila kuangalia madhara katika kudumaza biashara

Hata hivyo Serikali na washangiliaji wake walitetea sana hii VAT na propaganda mingi mno

No Research, NO right to Speak

Sasa imefika wakati kuongea sasa, kila kitu kiko wazi...Propaganda tupa kule

Ndio maana shilingi imezidi kushuka thamani maana mapato ya utalii hayajatosha, utalii haujakuwa kwa % zinavyotakiwa.

Safari bookings wamefanya utafiti na wamesema VAT imeleta balaa kubwa....watalii wamepungua sana kulinganisha na Kenya au Rwanda au Uganda..Soma mwenyewe

Upheaval in the Safari Industry as the Impact of Tanzania’s New VAT Tax Starts to Bite - Safaribookings Blog

Natarajia werevu wenye hoja watajibu

Wale "wapumbavu" (in his voice) nao watakuja na kelele
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom