urais ni raha sana,hulipi bills,wewe ni kuendeshwa kwenye vieite na golf stream,kina wasira waking'ang'ania madaraka muwaelewe
Mkuu, wanasiasa hawa utawaweza !!,nimekumbuka kitabu fulani nilisomaga,mwanasiasa anawambia wananchi kwamba kazi ngumu sanaaa hivo wasiitamani kumbe anawachora tuDola bilioni 6253! Sasa raha yake iko wapi hapo? JK nchi ilimkalia moto & uchungu kwa pamoja hadi kwa mwezi anasafiri ng'ambo mara ^tea-sir tea-sir!^