Best Pc 4 video editing

Best Pc 4 video editing

Dishunga

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
276
Reaction score
58
Wadau naomba kujuzwa ni aina gan ya computer/destop (pc) nzur na spacfication zake kwa ajili ya video editing &3d
 
Mkuu kama kweli unataka pc iliyosimama nakushauri utumie Mac maana software makini kama Final Cut Pro inatumika kwenye mac kiuzuri zaidi.
 
Ukiwa na Mac hakka utapenda kla kaz utayoifanya..Apple machines zao wanaztengeneza ktk technology ya juu xana ukianziia Painting ya machne had processor ynyw..pia display za Mac had graphics are ov highest rank uklngansha na brand ingne..
 
wanandugu uwezo wa kununua mac sahv cna ndo maana nkataka pc so naomba mawaz yenu
 
Back
Top Bottom