Sasa waislam wanalilia eti lazima OIC nayenyewe iruhusiwe iingie hapa itatoa misaada kwa tanzanian na waislamu watafaidika....kigezo eti kwanini serikali imeruhusu Vatican wawe na uwakilishi Tanzania wao wanyimwe OIC kuwakilisha waislamu??
Kwa hiyo Urusi hawamo naona hizi taarifa zinamapungufu Urusi katika intelligence ni noma!
1.Police training-United kingdom
2.Special forces-USA and ISRAEL
3.Gollilar war,military displine and military organization-CHINA
4.Airforce Training-USA
5.Intelligence-Vatican
Hiyo ni miaka ya zamani. Siku hizi kuna mabadiliko makubwa
Jeshi la urusi sio imara.Ndio maana lilishindwa kuzuia Urusi kuvunjika vipande vipande.Intelijensi yake KGB haikuwa imara ku-predict mapema nini kitatokea na kizuiwe vipi.Hivyo ndani hata ya shirika la ujasusi la urusi na jeshi la urusi hakukuwa imara.Hivyo kilipotokea cha kutokea hawakuweza kuzuia.
Urusi ilikuwa na jeshi hodari lakini lisilo na uzalendo wala nidhamu ndio maana nchi ya urusi ikasambaratika tofauti na CHINA ambayo pamoja na mageuzi yote ya kisiasa Jeshi limehakikisha nchi inakuwa ya amani na haivunjiki vipande vipande wakati huo huo likisimamia ukuaji uchumi.Ndio maana Urusi haiko katika best military trainers.Sababu even at home they have failed.How can they be best trainers?
Warusi wanaintelligence kali sana. Wenyewe ndo waliishauri Russia iziachie zile nchi zisambaratike alafu wapandikize ma KGB wao. Chechnya, Ukraine, georgia kote huko KGB wamejaa..
Number five, Vatican, scares me a bit!
I used to take Vatican as very peaceful and holly!
Aliyeisambaratisha Russia ni mwanamke anaitwa Condoleezza Rice agent wa CIA ambaye ambaye alikuja kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje wa Marekani .Huyu mwanamke alienda kusoma Urusi Chuo cha Moscow state university mwaka 1979.Kule akapata mpenzi wa kiume anaitwa Mikhail Gorbachev ambaye alikuja kuwa raisi wa Urusi.Uhusiano wao ulipelekea Gorbarchev kwa kupitia kwa hawara yake CONDORREZA Rice kuingizwa kuwa agent wa CIA kwa ushawishi wa mwanamke huyo.
Gorbachev aliposhika madaraka ndio akaanzisha sera mbali mbali ambazo zote zilikuwa na lengo la kuyumbisha urusi na kuisambaratisha.Sera hizo zilikuwa kama ile ya mageuzi ya Perestroika ambayo ililenga kuondoa mfumo wa uchumi uliokuwepo na kuuingiza kwenye mfumo wa kibepari ambao aliuita market socialism kuwalaghai warusi wadhani bado wako kwenye ujamaa ila huu ni wa soko.Laghai mkubwa.
Pia alianzisha sera ya Glasnost ambayo ilikuwa sera ya uhuru wa kujiamulia mambo,uhuru wa habari,na uhuru wa mawazo na kusema chochote hii sera ndio ilisababisha Jamhuri mbali mbali ziamue kujiamulia mambo yao.
Haya yote yalikuwa yakiratibiwa na CIA bila KGB kujua kuwa GORBACHEV alikuwa CIA BUG inside KGB.Walikuja kugundua baadaye Urusi ikiwa imeshakuwa marehemu.
ni maswahiba wa mafianumber five, vatican, scares me a bit!
I used to take vatican as very peaceful and holly!

Nikipata muda nitakuja na story ya Russia - USSSR YA PRESTREROKA.
NENDA TAFUTA RESOURCES ZA ROLE OF VATICAN UNDER POPE PAUL 2 IN ENDING COLD WAR AND OPENING EUROPE ( eastern )
Vatican walifundushwa na Tanzania kipindi cha vita ya kagera
Naisubiri kwa hamu kubwa ......msikie huyu KGB anavyosema ....................The Canadian reporter, Eric Margolis, described it this way: "I was the first Western journalist inside the KGB headquarters in 1990. The generals told me that the Vatican and the Pope above all was regarded as their number one, most dangerous enemy in the world."
That is absolutely true ..
Infact ..CIA rely heavily on The Vatican Intelligence Services and Mosad on the most delicate doziers .....,huu mfumo wa Balozi wa nyumba 10 alizoleta Nyerere ambao imefanikisha Sana Usalama na hata majirani kuiga ....Mwalimu alijifunza kwa white fathers ...ambao walikuwa wajiri wake na waliomsomesha ..,wao wanaita Small Christian Communities ...unampa uwezo kiongozi kiutawala hadi familia Za watu ...na kupata taarifa yeyote na Wakati wowote .
Political(PoliCCM) Police - CCP Moshi ;Tanzania United Republic