Pilipilihoho
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 202
- 145
Kwangu mimi napenda wale ambao beauty zao zinatokana na ndani.. Siyo kuonyesha mwili uchi, uchi inasumbua wanaumewanafanana sura na macho yao yaliorembwa kishetani
wanafanana sura na macho yao yaliorembwa kishetani
Mmh kusema kweli Ini Edo sielewagi whether hana mwili wa nguo au hana choice ya nguo au both. Mara nyingi naona yupo yupo kama mimi tuHuyo Ini Edo ndo nini kuvaa kama wedding?
Mmh kusema kweli Ini Edo sielewagi whether hana mwili wa nguo au hana choice ya nguo au both. Mara nyingi naona yupo yupo kama mimi tu
Hahaha tunajikuta fashion police wenyewe mwee. Sijui ndo kupania sana au vipi, ila angetulia tu akavaa kitu simple angependeza mbona. sikumbuki ni mara ngapi Ini Edo amevaa na mie mpambe nuksi nikakubali, I'm still her beautiful fan though lol.Heheh!,..eti kukosa mwili wa nguo au choice ya nguo.
Acha fans wake waseme, that's the first thing you notice on her, dress kama shela.
Mtu sijui unaanzaje kuvaa mfano wa wedding dress kwenye event ya kawaida!
Hahaha tunajikuta fashion police wenyewe mwee. Sijui ndo kupania sana au vipi, ila angetulia tu akavaa kitu simple angependeza mbona. sikumbuki ni mara ngapi Ini Edo amevaa na mie mpambe nuksi nikakubali, I'm still her beautiful fan though lol.
I always watch the red carpet anxiously to see Ritha Dominic, that momma knows how to slay us effortlessly
Halafu angevaa basi gauni la harusi zuri....ndo gauni gani sasa hiloHeheh!,..eti kukosa mwili wa nguo au choice ya nguo.
Acha fans wake waseme, that's the first thing you notice on her, dress kama shela.
Mtu sijui unaanzaje kuvaa mfano wa wedding dress kwenye event ya kawaida!