hatari sana ukute inachezwa na kichaa dj SARSCOVID-19 ft corona
kuna collabo nyingi nzuri tu ila zipo ambazo kwangu ni nzuri zaidi.
huwa napenda collabo kwani ndani yake utasikia radha na sauti tofauti tofauti....
zifuatazo ni baadhi tu ya collabo hizo...
-wakazi ft fid q & dully Sykes_torati ya mtaa
-jux ft ben pol_nakuchana
abbah ft marioo & mesen selekta _chombo ya fundi
harmonize ft country boy,lunya & others_bedroom remix
vp kwa upande wako collabo gani zinakukosha roho....
Eminem ft lil wiz no lovekuna collabo nyingi nzuri tu ila zipo ambazo kwangu ni nzuri zaidi.

🤣🤣🤣🤣🤣