joomla is the best,nimeanza kuitumia 2007 na inazidi kukua,
chama cha Kanu kenya wanaitumia,Tanesco,nssf, na taasisi kubwa zinaitumia,so ni cms ya uhakika,pia support yake ni kubwa sana
kwa Drupal, hii imekaa kiusalama zaidi,ni cms nzuri ila haina support kubwa ya watengeneza plugins and extensions
kuna cms inaitwa moodle hii ni nzuri kwa taasisi za kielimu, nchi ya brazil inaitumia ktk vyuo vyake vyote
pia nimeitumia ktk united nations training programs ,
wordpress ni blog cms
pia kuna Media wiki hii ndo inayotumika na wikipedia inafaa kwa ajili ya knowledge base,
Mambo ndio mama wa Joomla. In other words, Joomla is a fork of Mambo just as PostNuke was for PHPNuke in those days!Kuna nyingine inaitwa Mambo iko kama Joomla,nimetumia Mambo na Joomla kwangu JOOMLA ndio best
Tena basi neno Joomla limetokana na kiswahili "jumla".Sijawahi kutumia joomla lakini kwa sifa iliyonayo kwa watu natamani kuifahamu
............................................
Mfano wa ambazo nimewahi kuzitest kuna Plone, Magento (kwa ajili ya comercial sites)...na nyingine zipo specific kwa kazi fulani, mfano za digital libraries kama fedora commons na dspace.
Kama kwa upande wako na mimi kimtazamo Joomla ni bora zaidi. Ila mjadala na mashindano kati ya joomla na drupal ni ya muda mrefu sasa.
Wakati Joomla walipoenda 1.6 na kutoa K2 drupal nao walifyatua CCK na kuboresha views modules.
Angalia data.worldbank.org ni drupal site utagundua kwamba drupal ndio cms yenye nguvu saidi haswa katika database sites (wanakuruhusu ku define custom fields na kuspecify querries kwa kutumia views kwa namna ambayo joomla haiwezi).
Mambo ndio mama wa Joomla. In other words, Joomla is a fork of Mambo just as PostNuke was for PHPNuke in those days!
Tatizo la Joomla wakati mwingine upgrade yake inaweza kukukatisha tamaa. Kwa mfano kutoka version 1 na kwenda 1.5 watu wengi walisota kwa sababu haikuwa upgrade bali migration. Kwa sasa kuna wengi wanalalamika kwa sababu upgrade ya 1.5 kwenda 1.6 hakuna mteremko (so far the upgrade script is not that perfect) kwa hiyo kama wasemavyo "you have to make your fingers dirty". Kama matatizo hayo yatatokea tena kwenye version ya 1.6> basi lazima uwe tayari kupambana nayo (in case you opt for Joomla).
Hapo kwenye mail sijakupata vizuri lakini hizo nyingine zote unaweza ukatumia Joomla bila taabu ingawa ukitaka kupata manufaa zaidi itabidi utumie commercial components/modules/plugins (bei huwaga sio mbaya). Kuna uwezekano vile vile kutumia components za chee lakini ni vizuri zaidi kama ukitoboka mfuko kidogo!Mfano nikitaka kutengeza website zifuataz ni CMS ipi inafaa .
- specific kwa ajili ya mail kama yahoo au hotmail
- Niitaka kutengeza social site kama facebook au twitter
- Webite ya ya duka au biashara kuuza vitu online kama ilivyo amazon au ya duka binafsi moja
- Website ya mnada kama ebay
Wordpress nzuri sana tena sio kwa blogu tuu. Wordpress na Joomla nzuri kama hutaki kuchafua mikoni. Lakini ukipata mtaalamu mzuri wa ku customise, Drupal ni nzuri sana. Unaweza kuamini hii site ni Drupal: BBC - Wales - Home.
iHustla said:Expression Engine
Hapo kwenye mail sijakupata vizuri lakini hizo nyingine zote unaweza ukatumia Joomla bila taabu ingawa ukitaka kupata manufaa zaidi itabidi utumie commercial components/modules/plugins (bei huwaga sio mbaya). Kuna uwezekano vile vile kutumia components za chee lakini ni vizuri zaidi kama ukitoboka mfuko kidogo!
Kitu ninachopendea Joomla ni wachangiaji wengi ambao wako tayari kutoa msaada pale mambo yanapokuwa magumu. Nimetumia CMS nyingi lakini tatizo wengine ni wachoyo sana (that's my personal opinion)!
- Social site (kwenye Joomla unaweza kutumia Joomsocial component) Commercial - $149 as for now
- Duka au biashara (Joomla wanayo VirtueMart component) Free
- Mnada (unaweza kutumia EBay Factory component) Free
Joomla: www.joomla.org
Expression Engine
In my opinion, Drupal is to Linux as Joomla is to Windows! If you really wanna get your "hands dirty", go with Drupal! I rank Drupal number one because it never failed me where Joomla has. In some serious coding anyways. I am in love with Drupal's CCK (Content Construction Kit). Views, the menu system, taxonomy, modules architecture... great features! You will fall in love with Drupal once you understand its architecture and know how to set it up correctly.
But what makes the best CMS? Is it security? Is it the looks? Is it the ease of use? The features? Or what is it really? I am sure different developers answer these questions differently. Since Drupal and Joomla are without a doubt the heavyweights of the CMS universe, read this good comparison article by Chris Wiegman: Drupal 7 vs Joomla 1.6.
NOTE: There are so many OpenSource CMS's out there. Check here. Joomla is a good starting point, will get you publishing beautiful website in no time! But if you are a serious programmer and you are looking for something that will flex your programming and art/design muscles, go with Drupal!
I Ability-Drupal
- Handles 20,000 request/second
- Praised by developers
- Full CMS
Joomla –
- [*=1]Good ouput[*=1]praised by designers[*=1]FULL CMS
Worpdress
- Simple easy startup
- Praised by beginners
- Partial CMS but growing fast
II Support
Drupal
- centaral authority under first developer
- 67 cousltants listed on drupal.org
Joomla-
- Manageg by team. many conlflict separated from mambo project
- 94 consultant listed on joomla.org
Worpdress .
- central authority under first developer
- 150 consultants listed on cdepoet.com
Usage. -Wordpress ni most used follwoed by joomla and then drupal.
Site using CMS
Drupal
- Twiter,com, ubuntu.com some uSA gov bodies, etc
- Visit Drupal sites | Dries Buytaert to see other site using drupal
Joomla
- Dnsstuff.com , thatguywiththeglasses.com
- In Tanzania NSSF, TRA, TBC . hata u turrnblog inatumia Joomla.
Wordpress
- perezhilton.com/
EMT said:Wordpress nzuri sana tena sio kwa blogu tuu. Wordpress na Joomla nzuri kama hutaki kuchafua mikoni. Lakini ukipata mtaalamu mzuri wa ku customise, Drupal ni nzuri sana. Unaweza kuamini hii site ni Drupal: BBC - Wales - Home.
Thanks but why does joomla and drupal have a small support base and user commnity compared to Wordpress.?
Ni kwel kabisa worpress ni rahisi. kwa siku mbili tu nimetengeza TBC version ya BBC. unaweza kuicheki hapa. TBC*|*Just another WordPress site Sasa sijui kati ya haka ka site nilikotengeza na site ya TBC Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC) ipi ni blog na ipi ni tovuti?
...............
They are both websites, they are both blogs! 🙂